Pre GE2025 Mbona Tundu Lissu hatumuoni kwenye mikutano ya Mwenyekiti Mbowe?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mmezoea kwa kunyonga ishieni kwa Msigwa Mzee wa hoja mfu na kulamba asali.

Msigwa magilini kweli, eti alikataa Uwaziri wa Mwendazake na pesa juu halafu anakwenda bure bure eti Chadema Nimekosa mwelekeo. Yaani Chadema ina kosa mwelekeo baada ya yeye kupigwa chini. Poor him.
 
Yuko CCM, amejiunga CCM, is this OK for you? Unatafuta hilo? Umelipata jibu.
Nafsi yako imetulia? Basi amani nadhani imerudi moyoni mwako.
 
Clinic gani haziishi. Au anataka kukata moto
Mmmmh Ndugu, Suala la Kukata Moto anapanga Muumba .
Kuna Msitari hatutakiwi kuuvuka katika maongezi / maandishi hasa hili Afya . Wote hatujui yajayo mbele yetu
 
Naona chama wamemzilia Mbowe pekee yake
Yuko CCM, amejiunga CCM, is this OK for you? Unatafuta hilo? Umelipata jibu.
Nafsi yako imetulia? Basi amani nadhani imerudi moyoni mwako.
 
Kazira asije akafia field bure

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
ungeuliza tu, mbona mbowe hatukumwona akihamasisha kuchangia pesa za gari?

pia, mbona Tundu Lisu hatumwoni akitoa hata pole tu mwenzake sativa kupigwa risasi? ina maana hajaona? vijana tafuteni pesa, siasa inaweza kukufanya uugue ugonjwa wa moyo. angalieni future zenu.
 
Mbowe alishakula hela za join the chain pekee yake akamwachia na mwenzake ale hela za kununulia gari ingawa hazijatosha amekimbia nchini
 
Huko chadema kunawaka Moto hakuna maelewano, kiti kinalindwa
Ww utakuwa ni mzee lazima, maana wazee wa ccm ndio huwa wanaendekeza hizi propaganda mfu.
 
Lisu yupo nje ya nchi kwa Clinic.

Jaribu kujenga hoja zenye mashiko.
Hamna Clinic wewe sema kagongewa viza ingine kawaacha tena kwenye mataa.
Atarudi tena kuwazingua manyumbu uchaguzi ukifika.
 
Ww utakuwa ni mzee lazima, maana wazee wa ccm ndio huwa wanaendekeza hizi propaganda mfu.
Upokeeni ukweli kuwa hali ya chadema kwasasa ni mbaya Yani Ni Kama wameachiana kazi za chama, Lissu yupo Singida mbowe hatujui yupo wap leo mbowe yupo Kasikazini hatujui Lissu yupo wap,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…