Hawajapata madaraka wanatibiwa nje ya nchi wakipata madaraka itakuwaje .. watanzania wasome alama za nyakati tusiingie hiki kichaka cha wahuni wanaitwa chadema
Chadema wana ratiba zao,na yawezekana wamepeana majukumu tofauti katika vipindi tofauti.
Kama una shauku ya kujua kuna nini Chadema waulize makada au viongozi walio maeneo ulipo au labda vist their website.