Tatigha
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 1,957
- 2,027
Hahahhahahahaa eti na ma cc yao, ndio wankua kuaHahaaaaa hivi wale jamaa kuna mtu anawakubali humu ndani?? Naona kila sehemu huwa wanapewa za uso tu na ma cc yao......
Mapenzi ya form two...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhahahahaa eti na ma cc yao, ndio wankua kuaHahaaaaa hivi wale jamaa kuna mtu anawakubali humu ndani?? Naona kila sehemu huwa wanapewa za uso tu na ma cc yao......
Mapenzi ya form two...
Duuuuuh mkuu hii post ni ya hapa kweli?Sasa kama wameshafika bei kwa vitisho vya baria uchwara za polisi, mwendo ikawa ni kumerge thread, pia wakajivumbulia kateknolojia ka kufilter thread isiweonekane na wengi hasa kama inakosoa serikali (yaan hawafuti kithread chako, ila hupewi shavu, yaani ni Clouds & Bashite Style)...ww unategemea nitachangamka?? labda waanze program ya kutugawia juice ili tuchangie kwa wingi.
Toto la kiarusha mimi nakosaje tubastola sasa? [emoji5]Kumbe Nifah unatubastola twa nguvu
Wewe 'mlinzi' hujarudi tu kutoka huko lindoni? Au umeenda kuroga kesho mfanye wonders vs Majimaji? [emoji12] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Tutaonana Saa 5 Kamili usiku wa leo tafadhalini kwani sasa naenda Kuwajibika. Nawatakieni jamvi jema na uchangiaji mwema. See you Guys.
Wema nae kwa mashoga utamuweza basi? Danny mtoto wa mama,James,Martin,Noel,Bilal n.k wote marafiki zake.Kwahiyo Martin Kadinda alishindwa ' Kudindisha ' kwa Wema Sepetu?
Santeeeee [emoji120]Nakuona nakuona Toto la kichaga, mmetisha
Duuuuuh mkuu hii post ni ya hapa kweli?
As long as mpo mnaotupenda inatosha mkuu.wapo waliosakamwa na kinyongo suguu kwa kushuhudia mapenzi ya hawa love birds yakizidi kupaaa
Unantamanisha duh !Toto la kiarusha mimi nakosaje tubastola sasa? [emoji5]
Tena sasa hivi ninavyodekezwa ndio nimenona haswaaaaa [emoji3] [emoji85]
???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????? error%$@0@^%!/akina Picha Kitambaa na Picha Natoa Hotuba? Heko zako!
Sasa kama wameshafika bei kwa vitisho vya baria uchwara za polisi, mwendo ikawa ni kumerge thread, pia wakajivumbulia kateknolojia ka kufilter thread isiweonekane na wengi hasa kama inakosoa serikali (yaan hawafuti kithread chako, ila hupewi shavu, yaani ni Clouds & Bashite Style)...ww unategemea nitachangamka?? labda waanze program ya kutugawia juice ili tuchangie kwa wingi.
Duuuuuh mkuu hii post ni ya hapa kweli?
Wewe 'mlinzi' hujarudi tu kutoka huko lindoni? Au umeenda kuroga kesho mfanye wonders vs Majimaji? [emoji12] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Hii post ipo mahala pake au ' Gongo ' na ' Bange ' zimeanza ' kuwadhuru ' Watu hadi sasa wanaanza ' kuwehuka ' hivi?
Ipo mahala pake kabisa. Kama hujaelewa pengine ww ndio mtumiaji wa gongo na bange unless umezijuaje? au utakuwa unajua tu kusoma ba kuandika...sasa miandiko ya wasomi km sisi kwako ni giza
mbn mumesimam mbali mbali vp mnaogop kuzaaHahahaaaaaaa hii JF bhana? Tukibebishana malalamiko yanazidi...oooh tumezidi kuitana my love,my love.
Tumekaa kimya sasa tupo kiprofessional zaidi mara kuna danger katika mapenzi yetu.
Jamani...The Bold's tupo kama mnavyoona hapo![]()
*Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atang'amua
[emoji444] *Na kapicha ketu nimekapost [emoji444]
[emoji444] *Wasiotupenda itawakost [emoji444]
Dam55 atapata kaupenyo kweli hapaHahahaaaaaaa hii JF bhana? Tukibebishana malalamiko yanazidi...oooh tumezidi kuitana my love,my love.
Tumekaa kimya sasa tupo kiprofessional zaidi mara kuna danger katika mapenzi yetu.
Jamani...The Bold's tupo kama mnavyoona hapo![]()
*Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atang'amua
[emoji444] *Na kapicha ketu nimekapost [emoji444]
[emoji444] *Wasiotupenda itawakost [emoji444]
angalia ngozi ya picha 'kitambaa' sio raba tu!Jiwe limefika ' kunako '. Raba zenu nzuri sana.