Riziki Mohammed
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 118
- 205
Ukikosea au Ukikengeuka kubali ' kurekebishwa ' Pimbi Maji Wewe.
Kamrekebishe mkeo aache kuja gheto kwangu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikosea au Ukikengeuka kubali ' kurekebishwa ' Pimbi Maji Wewe.
Unamaanisha nini mkuu?angalia ngozi ya picha 'kitambaa' sio raba tu!
Hahaha jaribu na wewe kupiga picha ya hivyo uone kama mtaweza kuwa karibu karibu mkuu.mbn mumesimam mbali mbali vp mnaogop kuzaa
Mbona nime log in humu Saa 5 kamili kama nilivyosema pale mchana? Naona sasa ' umeshapotea ' humu na bila shaka Picha Natoa Hotuba sasa ' anaitandika ' Mbunye yake kama hana akili nzuri vile! Haya bhana nawatakieni ' ushirikiano wenu mwema wa Kibaiolojia ' usiku huu.
Kesho Simba SC haichezi na Majimaji bali inacheza na Mwadui FC. Naona ' Mkuyenge ' siku hizi unakufanya hadi upoteze kabisa ' memory '.
namaanisha kumbe wewe ni mweupeUnamaanisha nini mkuu?
Jiwe limerushwa gizani alafu nimejikuta nasema "yalaaaaaaa" (limenipata)
To make a long story short... Ni kwamba huu ni mwezi wa pili tuko wote pamoja.!! Nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja, shuka moja and oooohh yeaaahh mwili mmoja..![]()
Hahahaha mapenzi yamehamishiwa uraiani sasa.Asalaam.
Mapenzi kuna kuchokana. Wengine kapo zetu toka tunajiunga JF hazihesabiki ila naona wengine wapo serious kuzidi wengine
Wewe huna mwenza au? HahahaCc couples
Bado sijafanikiwa [emoji85] [emoji85]Wewe huna mwenza au? Hahaha
Hahahaha mpaka Leo?Bado sijafanikiwa [emoji85] [emoji85]
Take easy mkuu. Huna haja ya ku-judge mtindo wa mapenzi ya watu.Hahaaaaa hivi wale jamaa kuna mtu anawakubali humu ndani?? Naona kila sehemu huwa wanapewa za uso tu na ma cc yao......
Mapenzi ya form two...
Mpaka leo mkuu, vipi kwa upande wako?Hahahaha mpaka Leo?
Yupo aisee.Mpaka leo mkuu, vipi kwa upande wako?
Take easy mkuu. Huna haja ya ku-judge mtindo wa mapenzi ya watu.
Achana nao tuu mkuu.Unajua hata maana ya kujaji ndugu?
Ndo maana nilianza na kicheko.....