Mbona uchangamfu wa hawa Members Wapenzi humu JF kila siku unapungua? Tatizo ni nini labda?

Mbona uchangamfu wa hawa Members Wapenzi humu JF kila siku unapungua? Tatizo ni nini labda?

Mbona nime log in humu Saa 5 kamili kama nilivyosema pale mchana? Naona sasa ' umeshapotea ' humu na bila shaka Picha Natoa Hotuba sasa ' anaitandika ' Mbunye yake kama hana akili nzuri vile! Haya bhana nawatakieni ' ushirikiano wenu mwema wa Kibaiolojia ' usiku huu.

Kesho Simba SC haichezi na Majimaji bali inacheza na Mwadui FC. Naona ' Mkuyenge ' siku hizi unakufanya hadi upoteze kabisa ' memory '.

Saa hizo tulishaweka simu pembeni tunaangalia series kali na popcorn zetu huku tukipiga stories.
Sio njema sana kiafya ya mahusiano mkiipa mitandao muda zaidi ya ule wa kwenu wa kuwa pamoja...

Mambo yenu ya simba hayanihusu bwana,mie najua ya Yanga yangu basi [emoji13]
 
Mtoa post bana kwani umesahau kuwa MAPENZI NI KITU CHA SIRI?ukishatangaza tu asee una lose CONFIDENCE.
Afu usisahau kuwa unapokuwa DOUBLE ni tofauti na kuwa SINGLE hasa kwenye jumuia Ya watu wengi.

loveETHICS
 
Jiwe limerushwa gizani alafu nimejikuta nasema "yalaaaaaaa" (limenipata)

To make a long story short... Ni kwamba huu ni mwezi wa pili tuko wote pamoja.!! Nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja, shuka moja and oooohh yeaaahh mwili mmoja..
emoji4.png

This was 7th April - Happy 6 Months Anniversary.
The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Kuna kitu kimenijia kichwani, anyway labda am old school kuona hizi kitu ni odd.

All in All... wish you the best.
 
Asalaam.

Mapenzi kuna kuchokana. Wengine kapo zetu toka tunajiunga JF hazihesabiki ila naona wengine wapo serious kuzidi wengine
Hahahaha mapenzi yamehamishiwa uraiani sasa.
 
Hahaaaaa hivi wale jamaa kuna mtu anawakubali humu ndani?? Naona kila sehemu huwa wanapewa za uso tu na ma cc yao......

Mapenzi ya form two...
Take easy mkuu. Huna haja ya ku-judge mtindo wa mapenzi ya watu.
 
We Kachero Kwa ufukunyuku haujambo. Naona umefukunyua kitambaa chekundu cha mtoa Hotuba.
 
Back
Top Bottom