Mbona vifo tata vimepungua sana!?

Mbona vifo tata vimepungua sana!?

Kwakweli hali ni tofauti na wiki mbili nyuma vifo tata na hata uenezwaji wa taarifa za vifo vihusianavyo na Corona havisikiki tena!

Hata wanaharakati waliokuwa wakitujuza misiba mbalimbali na kuihusianisha na Covid 19 pia wapo kimya!

Ndiyo kusema Corona bye-bye!?

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Mange kimambi hana bundle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio sababu Mwl Ummy alipongezwa mjengoni, na jumapili ijayo ni send off ya Corona...teh[emoji23]
Alafu naskia wengi walio ng'ata shuka, walikua na magonjwa mengine.

Magonjwa mengine, na wewe kilichokunyoosha hadi ukatubu na kutuaga ni magonjwa mengine.?

Wewe ni manusura uliyetuaga hadharani huku ukilialia, kwa maombi yetu ukapona... tulitegemea mrejesho chanya toka kwako.
 
Magonjwa mengine, na wewe kilichokunyoosha hadi ukatubu na kuaga ni magonjwa mengine.?

Wewe ni manusura uliyetuaga hadharani huku ukilialia, kwa maombi yetu ukapona... tulitegemea mrejesho chanya toka kwako.
Mkuu, hili swala limekuwa linanipa shida kidogo.
Kwani mimi sio binadamu na sipaswi kuumwa?
Naomba urudi ukarudie kusoma tena, ukikuta sehem niliandika kwamba ninaumwa corona wallahi ninakupatia 20,000 ya usumbufu this morning..
 
ndiyomaana mmeambiwa jumapili mtoke nje mpige kelele nyiingi sana kumpongeza jemedari ameishinda korona
 
Mkuu, hili swala limekuwa linanipa shida kidogo.
Kwani mimi sio binadamu na sipaswi kuumwa?
Naomba urudi ukarudie kusoma tena, ukikuta sehem niliandika kwamba ninaumwa corona wallahi ninakupatia 20,000 ya usumbufu this morning..

Take easy mkuu! Ilikuwa magonjwa mtambuka [emoji1493][emoji1493][emoji1493]
 
Kumekucha
 
Attachments

  • IMG-20200520-WA0001.jpg
    IMG-20200520-WA0001.jpg
    85.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom