nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Haaaa haaaa haaaa hakyanani JF kibokoUlipima wapi kuthibitisha umepona ikiwa maabara iko kwenye uchunguzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using kidole gumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa haaaa haaaa hakyanani JF kibokoUlipima wapi kuthibitisha umepona ikiwa maabara iko kwenye uchunguzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mange kimambi hana bundleKwakweli hali ni tofauti na wiki mbili nyuma vifo tata na hata uenezwaji wa taarifa za vifo vihusianavyo na Corona havisikiki tena!
Hata wanaharakati waliokuwa wakitujuza misiba mbalimbali na kuihusianisha na Covid 19 pia wapo kimya!
Ndiyo kusema Corona bye-bye!?
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Si uchawi tuKwani kulikuwa na rambi rambi Mkuu!
Sent using kidole gumba
Ndio sababu Mwl Ummy alipongezwa mjengoni, na jumapili ijayo ni send off ya Corona...teh[emoji23]
Alafu naskia wengi walio ng'ata shuka, walikua na magonjwa mengine.
Mkuu, hili swala limekuwa linanipa shida kidogo.Magonjwa mengine, na wewe kilichokunyoosha hadi ukatubu na kuaga ni magonjwa mengine.?
Wewe ni manusura uliyetuaga hadharani huku ukilialia, kwa maombi yetu ukapona... tulitegemea mrejesho chanya toka kwako.
Tunadiba na barakoa au kavu kavu?Kwani wehauna taarifa mkuu..??
Jumapili tumeagizwa tukaogelee na tuparee kwa kupiga keleleeeeeee......!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hili swala limekuwa linanipa shida kidogo.
Kwani mimi sio binadamu na sipaswi kuumwa?
Naomba urudi ukarudie kusoma tena, ukikuta sehem niliandika kwamba ninaumwa corona wallahi ninakupatia 20,000 ya usumbufu this morning..
Sio kufanya fujo?Ndugu zangu, Mungu huwa anajibu maombi ya wamwombao.
Sasa jukumu tulilo nalo (sisi wenye imani) ni KUMSHUKURU Mungu wetu.
Jesus is Lord!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhhh.....😳☹Take easy mkuu! Ilikuwa magonjwa mtambuka [emoji1493][emoji1493][emoji1493]
Kwan kujua umepona mpaka ufanyiwe uchunguzi? Huoni mabadiliko ya hali ya mwili wakoUlipima wapi kuthibitisha umepona ikiwa maabara iko kwenye uchunguzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushapata nafuu jomba?Ipo hivi mtu akifa unajizikia mwenyewe sio kama wiki mbili zilizopita watu hawashiki waiti bila PPE. Sasa hiv ni kupambana na hali yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinisahau tu kipenzi..😉J2 full shangwe, tushapewa ruhusa ya kupiga kelele na kushangilia
Wewe tena, tutakua woteUsinisahau tu kipenzi..😉