GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ila Simba bwana!!πππNa walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora.
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kipenzi cha MUNGU.
Wachambuzi wa bongo wanalipwa na JSMNa walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora.
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kipenzi cha MUNGU.
Mganga wao kasusaIla hapa ndo huwa sielewi mpira ukoje, hivi yanga kakosea wapi?? Wachezaji ni wale wale, mwalimu ni yule yule, Simba alidrop baada ya kuuza two key players sasa Yanga shida ni nini??
Kayoko akiwepo?Huyo aliyefungwa mechi moja atafungwa ya pili na yule yule Yanga.
Kisha tutarudi kuwalinganisha.
Makosa ya kibinadamuIla hapa ndo huwa sielewi mpira ukoje, hivi yanga kakosea wapi?? Wachezaji ni wale wale, mwalimu ni yule yule, Simba alidrop baada ya kuuza two key players sasa Yanga shida ni nini??
Mbumbumbu Mama yako Mzazi.Yaani timu Bora Tanzania mpaka uambiwe na Mchambuzi, hakika u mbumbumbu ni hatari kubwa.
Ikiwa Kocha wa Simba anasema Yanga ni Timu Bora na timu yake Bado Ina ji Jenga wewe mbumbumbu wa kawaida usiyejua chochote kwenye soka unabishana na Kocha wa Simba!!
Na Wewe ndio mama apa jukwaaniMbumbumbu Mama yako Mzazi.
Kwenye izi round za awali apo kwenye Jedwali la msimamo wa Ligi Zina kaa timu nyingi ndio maana uwa tunashauri wapige na picha.Wachana na wachambuzi, anaeogoza ligi ndiye bora kwa wakati huo. Anaeshinda ligi ndio bora kwa msimu huo.
Kutesa kwa zamu.Kwenye izi round za awali apo kwenye Jedwali la msimamo wa Ligi Zina kaa timu nyingi ndio maana uwa tunashauri wapige na picha.
Itakapo fika round ya 27 kuelekea mwishoni kunakua na timu Moja tu (Yanga) na Gape la point zisizo pungua 5 kati yake na anaye fuata.
Hizi ni round za Kila anaye kaa apo juu kuji mwambafy ila zile round za ki umeni zikifika wenye akili na mbumbumbu hujitenga.