ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Asilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili.
Nilichokigundua kwetu sisi wanywaji tunakuwa na bahati sana ya kupata hela yaani mlevi hakai siku tatu au nne bila ya kupata hela na utamgundua anakuwa na mood ya furaha.kipi kinatusukuma kutafuta hela kwa mbinu je hio hamasa ni kwa ajili ya ukifikiria ukizopoteza?
Kwa upande wa wenzetu hawa wasiotumia unaweza kumkuta kila siku ye analia hana hela hata week mpaka mwezi anadai hana hela.anakuwa na nia kweli ya kupata ili afanye vya maana ila ndo mfumo unamkataa hapati tu.