Mbona walevi wanapata pata hela kuliko wasiokunywa

.......sio kwamba wanaopata pesa mara Kwa mara, kimsingi wanywaji wa hizi pombe za viwandani ni watu wenye fedha kiasi fulani hata ukiwakuta baa unawaona ni wenye furaha.......
.......Sasa njoo kwa sisi tunajifanya tunazingatia dayati za Janabi na kwamba hatunywi pombe coz ni mbaya kiafya nk, wengi wetu utaona tuna harufu ya ufukara fulani na hatuna saving yoyote ya maana.......
 
Umesema mpka cyo poa 😹😹😹😹😹😹dayati ya Janabi 😹😹😹😹
 
Kwa maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, nao wakasema, Ana pepo. Mwana wa Adamu alikuja, anakula na kunywa, nao wakasema, Tazama, mlafi huyu na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi. Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa matendo yake.

Kwamba mnafikiri huyu bwana walisema ni mlevi wa juice ya embe ama ?
 
Sio kwamba walevi wana bahati,,,,, ni kwamba wanakutana sana maeneo ya starehe kama bar n.k ,,, huko huko kwenye unywaji ndo wanapeana connection kadha wa kadha,,,, binafsi juzi kati January hapa kuna mshikaji tulikutana tu bar story za hapa na pale, kupitia yeye nikauziwa kiwanja na rafiki yake bei ya kutupa kabisa alafu eneo potential sana ,,, hakuna udalali wala nini ! Ni hayo tu ndugu mtoa mada
Uzi umeishia hapa. Ulichoandika ndo uhalisia.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
.......sio kwamba wanaopata pesa mara Kwa mara, kimsingi wanywaji wa hizi pombe za viwandani ni watu wenye fedha kiasi fulani hata ukiwakuta baa unawaona ni wenye furaha.......
.......Sasa njoo kwa sisi tunajifanya tunazingatia dayati za Janabi na kwamba hatunywi pombe coz ni mbaya kiafya nk, wengi wetu utaona tuna harufu ya ufukara fulani na hatuna saving yoyote ya maana.......
Exactly

Back
Top Bottom