ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Jichanganye ๐น๐น๐นAsilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili.
Nilichokigundua kwetu sisi wanywaji tunakuwa na bahati sana ya kupata hela yaani mlevi hakai siku tatu au nne bila ya kupata hela na utamgundua anakuwa na mood ya furaha.kipi kinatusukuma kutafuta hela kwa mbinu je hio hamasa ni kwa ajili ya ukifikiria ukizopoteza?
Kwa upande wa wenzetu hawa wasiotumia unaweza kumkuta kila siku ye analia hana hela hata week mpaka mwezi anadai hana hela.anakuwa na nia kweli ya kupata ili afanye vya maana ila ndo mfumo unamkataa hapati tu.
ChaiAsilimia zaidi ya nusu ya muda wangu natumia kukaa na walevi kila siku na zaidi ya asilimia 90 ya marafiki zangu ni walevi wa pombe za viwandani na hata za asili.
Nilichokigundua kwetu sisi wanywaji tunakuwa na bahati sana ya kupata hela yaani mlevi hakai siku tatu au nne bila ya kupata hela na utamgundua anakuwa na mood ya furaha.kipi kinatusukuma kutafuta hela kwa mbinu je hio hamasa ni kwa ajili ya ukifikiria ukizopoteza?
Kwa upande wa wenzetu hawa wasiotumia unaweza kumkuta kila siku ye analia hana hela hata week mpaka mwezi anadai hana hela.anakuwa na nia kweli ya kupata ili afanye vya maana ila ndo mfumo unamkataa hapati tu.
naunga mkono hojaYawezekana wanywa juice wana starehe ghali kuliko wanywa pombe!
Umeongea maneno mazito sana.Unapendelea maua yako uyapokee ukiwa wapi?Ila pombe tam jamani khaaaa...๐
Kuna wakati unapata kiu ya pombe hadi unatamani uchambe koo hata kwa Safari 2 baridiiiii......๐
Mwanzo ni kupatapata.Mwisho utapata sana.Aah kumbe wana pata pata Hela..aaah SAWA ๐ค๐
Nilidhani wanapata sana hela ๐ค๐
And,cheers for the other comrades too!Cheers๐ป
Wakija kupata sana, sisi tuliopata sana mda mrefu tutarudi kupata kidogo au ?๐ค๐Mwanzo ni kupatapata.Mwisho utapata sana.