Mbona walevi wanapata pata hela kuliko wasiokunywa

Ku
The law of universe.....toa pesa upate pesa.
Kula Bia
 
Me na ex wangu ilikuwa kila siku jioni lazima twende kupata dinner ambayo ilikuwa ni kati ya elfu 12 hadi 15 alafu tunapitia kwenye kigroccery me nakunywa bia tatu yeye tano au zaidi kutegemea tu na siku yenyewe itakavyokuwa tulikuwa tunatumia kati ya elfu 30 hadi 40 kila jioni
Weekend tunakesha bar na tunaamkia guest
Siku kama hizo laki na nusu ilikuwa ni kawaida kuisha
Nilivyokaa na kutathmini hiyo kitu nikataka tubadili mfumo wa maisha kwamba tunachoma hela nyingi sana kwa hali ya maisha yetu ni bora kusave tuwe angalau weekend ndiyo tunatoka na shughuli tumalizie nyumbani badala ya guest elfu30 tunafuata ac

Kweli ikawa hivyo kama baba nilivyoamua
Lakini after kama miezi miwili pashkuna ananiambia hivi mpaka saivi tumesave bei gani mbona hatuna kitu na hatuenjoi tena kama mwanzo
Ni kweli hatukuwa na chochote tulichosave


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Connection, bar utakutana na watu wengi na nirahisi kukupa madili
 
Walevi wengi ni wapiga deal na wahujumu wa Mali ya umma Ili wapate pesa ya kununuliana pombe.

Ulevi ukomeshwe katika utumishi wa umma na sekta binafsi.
 
Shetani hawezi kukupiga vita ikiwa una malengo ya Kupata pesa ya kunywea pombe,

Ungewaza kuhusu kuhudumia INJILI ndio ungepatikana na vita kubwa zaidi ya hiyo.
 
Kuna kitu unachanganya hapa. Walevi wengi ni tayari wana hela ndioaana wanalewa. Sio eti wanalewa ndio wanapata hela.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe nawe ni wale waleπŸ€”
Yah napiga Bia kama kawaida.
We unataka kazi zote ninazo zipambania niishie kunywa Soda 🀣🀣🀣
Prof Janabi mwenyewe karuhusu Bia kwa afya ya Binadamu.
Mimi ni nani nimbishie Profesa wa afya ya Binadamu.
Wewe endelea kunywa Togwa., πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…