Mbona wanawake wakikamata PESA NDO wanaanza kusema wanajitambua

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
Eti kujitambua ni nini?

Mbona wanawake wakikamata PESA NDO wanaanza kusema wanajitambua

Ikifika hiyo stage kama ALIKUWA na mume anaanza kuona kero, hasa kama atamzidi, kama ALIKUWA na mchumba ake vivyo hivyo.

Anaanza KUWA mwanamme WA kike, anaanza kusahau KUWA ana ..., anaanza KUWA feminist.

Je ukiwa hauna uchumi mzuri AKILI hii hupotea? Au ujificha?

Kwanini iwe HIVYo unapopata PESA na si kabla na hii upelekea kuitwa kujitambua.

Kwahiyo kujitambua Kunakuwa hivi?
 
Dah kuna mmoja yupo hapa ofisi jiran miaka 3 nyuma alikuwa ofisa wa kawaida tu na mshahara wa kawaida kapata nafas ya kwenda kuongeza maarifa ulaya karud na cheo kimepanda kasheshe limeanza nyumban anadai talaka kwa mume anaona anambana eti majukumu yanamhtaj zaid ofsn kuliko nyumban

Na mume n kama alishajiandaa kisaikolojia amemwambia avunje yeye talaka amempa.go ahead

Za ndaan bos wa kampuni ana mega kisela.imagine boss ana umri wa miaka 70 binti 33
 
ndivo ilivo kwahzo jinsia tulipo kusea ni pale tulipa wapa majukumu ya kiume na kusema nao wanaweza..Mwanamke kaumbiwa kulea familia,kumtunza na kumshauri mme wake. nahuku kuna mmoja kadai talaka kidume kimegoma kutoa.
 
Mbona Samia hajitambui au ndiyo tuseme hana pesa?
 
Wamuige Mh Mama Gwajima aavyoishi na mmewe japo ni waziri na ana pesa.
 
ndivo ilivo kwahzo jinsia tulipo kusea ni pale tulipa wapa majukumu ya kiume na kusema nao wanaweza..Mwanamke kaumbiwa kulea familia,kumtunza na kumshauri mme wake. nahuku kuna mmoja kadai talaka kidume kimegoma kutoa.
atoe tu maana hawa viumbe wana mbinnu kama sio mbwinu ya kumteketeza mwanaume na ukashangaa

Wakianza kutumia KISIMI kama msaada wa ubongo akil zao znawehuka kabisa wanaweza fanya lolote kuamua jambo baya
 
Kwa kifupi ndo ujue wanawake 80% wanavumilia wanaume sababu ya umasikini tu, hakuna anaependa kero
Mbona hata wanaume mkipata pesa ndo mnaanza kuona wake zenu sio type yenu😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…