- Thread starter
- #21
Samia ana PESA gani? HIZI za kimwaga damu?Mbona Samia hajitambui au ndiyo tuseme hana pesa?
Samia ana PESA gani? HIZI za kimwaga damu?Mbona Samia hajitambui au ndiyo tuseme hana pesa?
Ndiyo hizohizo za kumwaga damu anazozitegemea, kwani ana biashara gani nyingine. Mwanae Abdul alikuwa muuza matairi naye ghafla bin vuu keshakuwa tajiri na hakuna mwenye uwezo wa kuhoji chanzo cha utajiri wake.Samia ana PESA gani? HIZI za kimwaga damu?
Acha upotoshaji mkuundivo ilivo kwahzo jinsia tulipo kusea ni pale tulipa wapa majukumu ya kiume na kusema nao wanaweza..Mwanamke kaumbiwa kulea familia,kumtunza na kumshauri mme wake. nahuku kuna mmoja kadai talaka kidume kimegoma kutoa.
tunaishi nao huku tunawaona usiwatete tena kwataarifa yako wengine wamewabwaga waume zao baada ya kula teuzi ya mama...Acha upotoshaji mkuu
Hujaelewa point.Kwa kifupi ndo ujue wanawake 80% wanavumilia wanaume sababu ya umasikini tu, hakuna anaependa kero
Mbona hata wanaume mkipata pesa ndo mnaanza kuona wake zenu sio type yenu😃
Yes mwanmke mwenye pesa ana uwezo wa kumshika mkono mwanaume masikini tatizo lenu kujisahau 😃Hujaelewa point.
Labda tukuongezee maelezo.
Mwanaume mwenye pesa anaweza akamchukua mwanamke fukara na akamfanya kama malkia.
Je mwanamke mwenye pesa anaweza kumpa mkono mwanaume masikini??
Mbaya zaidi mkishika pesa hata kidogo mnajisahau sana.
🤣🤣Pole mkuu, hakikisha mwenza wako anakuzidi tacco tu.
🤣🤣 Woman is wickedDah kuna mmoja yupo hapa ofisi jiran miaka 3 nyuma alikuwa ofisa wa kawaida tu na mshahara wa kawaida kapata nafas ya kwenda kuongeza maarifa ulaya karud na cheo kimepanda kasheshe limeanza nyumban anadai talaka kwa mume anaona anambana eti majukumu yanamhtaj zaid ofsn kuliko nyumban
Na mume n kama alishajiandaa kisaikolojia amemwambia avunje yeye talaka amempa.go ahead
Za ndaan bos wa kampuni ana mega kisela.imagine boss ana umri wa miaka 70 binti 33
.....yoooo yaan nimecheka.mpaka.nkajamba jamaa wanauliza kwema nawambiaa niongezee hahahaa..kabisaa mkuu wabaki na kalio.mengine woii kesha mwemyewePole mkuu, hakikisha mwenza wako anakuzidi tacco tu.
😁Hujatujua wewe, tukikamata pesa we acha tu.
Ila pambana umzidi income bana
Ukishakua na pesa sasa mtu kama shishi lazima umsaliti tu , pesa inahitaji vitu vizuri .Yes mwanmke mwenye pesa ana uwezo wa kumshika mkono mwanaume masikini tatizo lenu kujisahau 😃
Si unamuona shishi food anawatoa vijana mavumbini
Ndo hivo ndo maana hata na yeye anatafuta type yake hoehae anaishi nae akijisahau anaachana nae anvuta brand new 🤣Ukishakua na pesa sasa mtu kama shishi lazima umsaliti tu , pesa inahitaji vitu vizuri .
Mwanaume ukisha shika pesa lazima tu utataka vitu vizuri , hiyo ni asili tu , ukosefu wa pesa ndio unafanya mtu ajiokotee tuNdo hivo ndo maana hata na yeye anatafuta type yake hoehae anaishi nae akijisahau anaachana nae anvuta brabs new 🤣
Kwa kifupi wote tungekua na uwezo wa kumpata tumtakae dunia ingekua sehem salama, ila asilimia kubwa watu wana settle na walichokipata sio wanachokitaka!
Vijana gani anawatoa mavumbini!?Yes mwanmke mwenye pesa ana uwezo wa kumshika mkono mwanaume masikini tatizo lenu kujisahau 😃
Si unamuona shishi food anawatoa vijana mavumbini
🤣🤣🤣🤣 haya kunywa maji upumzike basi utakabwa na mate!Vijana gani anawatoa mavumbini!?
Huyo malaya anaenunua mwanaume ndio useme anatoa vijana mavumbini!??
Na mkipata vihela hata mkiweza kuingiza laki 2 kwa mwezi,kelele kibaaooo kama debe tupu.
We jamaa umenichekesha sanaMbona Samia hajitambui au ndiyo tuseme hana pesa?
Eti kujitambua ni nini?
Mbona wanawake wakikamata PESA NDO wanaanza kusema wanajitambua
Ikifika hiyo stage kama ALIKUWA na mume anaanza kuona kero, hasa kama atamzidi, kama ALIKUWA na mchumba ake vivyo hivyo.
Anaanza KUWA mwanamme WA kike, anaanza kusahau KUWA ana ..., anaanza KUWA feminist.
Je ukiwa hauna uchumi mzuri AKILI hii hupotea? Au ujificha?
Kwanini iwe HIVYo unapopata PESA na si kabla na hii upelekea kuitwa kujitambua.
Kwahiyo kujitambua Kunakuwa hivi?