Ukweli mchungu usikubali mwanamke akuzidi Hela hata iwejeEti kujitambua ni nini?
Mbona wanawake wakikamata PESA NDO wanaanza kusema wanajitambua
Ikifika hiyo stage kama ALIKUWA na mume anaanza kuona kero, hasa kama atamzidi, kama ALIKUWA na mchumba ake vivyo hivyo.
Anaanza KUWA mwanamme WA kike, anaanza kusahau KUWA ana ..., anaanza KUWA feminist.
Je ukiwa hauna uchumi mzuri AKILI hii hupotea? Au ujificha?
Kwanini iwe HIVYo unapopata PESA na si kabla na hii upelekea kuitwa kujitambua.
Kwahiyo kujitambua Kunakuwa hivi?
Wanasemaga "ukifa nitaleaje watoto"?🤣🤣🤣🤣ndivo ilivo kwahzo jinsia tulipo kusea ni pale tulipa wapa majukumu ya kiume na kusema nao wanaweza..Mwanamke kaumbiwa kulea familia,kumtunza na kumshauri mme wake. nahuku kuna mmoja kadai talaka kidume kimegoma kutoa.
Nasikia harufu ya UKWELI hapa😀Kwa kifupi ndo ujue wanawake 80% wanavumilia wanaume sababu ya umasikini tu, hakuna anaependa kero
Mbona hata wanaume mkipata pesa ndo mnaanza kuona wake zenu sio type yenu😃
Wanasemaga "ukifa nitaleaje watoto"?