Mbona wanawake wakikamata PESA NDO wanaanza kusema wanajitambua

Ukweli mchungu usikubali mwanamke akuzidi Hela hata iweje

Hawakuumba kumiliki uchumi ni basi tu
 
ndivo ilivo kwahzo jinsia tulipo kusea ni pale tulipa wapa majukumu ya kiume na kusema nao wanaweza..Mwanamke kaumbiwa kulea familia,kumtunza na kumshauri mme wake. nahuku kuna mmoja kadai talaka kidume kimegoma kutoa.
Wanasemaga "ukifa nitaleaje watoto"?🤣🤣🤣🤣
 
Kwa kifupi ndo ujue wanawake 80% wanavumilia wanaume sababu ya umasikini tu, hakuna anaependa kero
Mbona hata wanaume mkipata pesa ndo mnaanza kuona wake zenu sio type yenu😃
Nasikia harufu ya UKWELI hapa😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…