lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Ni muda mzuri,kusitiri Mali zao,ili si kila mtu ajue Fulani anamiliki nini na nini.
Ila si wote wengine wengi tu sikuhizi wanahama mchana
Mi nilihama mchana, ukiona wanahama ucku kawaulize nadhan watakupa jibu muafaka vngnevyo utatulalizimisha kuwabetia majibu yao km si kuwasemea
Wengine wanatoroka madeni ya kodi za nyumba
hata wangehama mchana pia nako ungehoji
Mmmh...mi siku nikiwa na friji na makochi nitahama mchana
mkuu sio kwamba wanaficha kunguni na magodoro yenye ramani za mikojo?
Asubuhi au mchana wapo kwenye mihangaiko ya kujipatia ridhiki. Usiku ndiyo wanapata muda.