Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Kuna Faida Zake Hasa Kama Una Masufuria Yaliyojaa Masizi,masofa Yaliyoliwa Na Panya, magodoro Yaliyotoboka Na Kunguni!
 
Hata ukijua sababu haitokusaidia kitu, fanya yako mkuu kwa maendeleo yako usipende kuchunguza maisha ya watu. Pia na hii mada wapelekee wamama wanaokaa vibarazani ambao hawana kazi za kifanya.
 
ukiwaona wanahama waulize kwanini wanapenda kuhama usiku wakikupa jibu rudi hapa
 
Hamjambo waungwana!

Hili jambo la kuhama usiku badala ya mchana iko siri gani katika hiyo? Tofauti na kuhama mkoa 1 kwenda mwingine.

Ila nimejaribu kuchunguza iwe mtu anadaiwa au hadaiwi kodi mida ya kuhama alipo kwenda kwingine sio rahisi mtu kuhama mchana. Kama kuna anaelewa hiyo anijuze make shemeji yenu kaniambia kuhama kawaida ni usiku tu.

Na wenzetu nao huko majuu wanahama kama sisi usiku?

Karibuni mnijuze.
 
Hata mimi sijui, labda ndo tumerithi kwa wazazi
 
Mh!!!hiyo ni watu tu wajijengea mazingira yao ya kuhama usiku haina maana yeyote ,ni fikra potofu tu kwa watu
 
Hata kama una vitu vya thaman kias gani huwez fanya hivyo coz Mchana macho me?gi mkuu
 
Huku mwisho saa 2 usiku waqat wa winter. Saa nne ucku summer. Baada ya hapo utaitiwa polisi kwasabab ya kero na bughdha. Ila usiombe majirani zako ni wasomali kwenye flets na wanapohama ama kuhamia ni sheedahhhh na kero
 
Panya akidondokaje wakati nipo kwenye foleni?
Bora kungekuwa hamna foleni unapitatuu vuuuuuuu.
 
....ukitaka kujua sababu, jifungie ndani na mke wako alafu apige kelele mamaaaaaaa, utaona na utajua kwa nini watu hupenda kuhama usiku...
 
Back
Top Bottom