BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Bila picha ya watoa salamu huu uzi haujakamilika....Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic.
Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa stage hawana kabisa kweli nyakati zinabadilika
Nakubaliπππwana vipaji vya u Mc
Ati ni kweli cocasticNini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic.
Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa stage hawana kabisa kweli nyakati zinabadilika
Basi hao ni wachache kati ya wengiHahahaa ila kuna wengne ni hatari yan hawataki
"Kutuma salamu kama kutuma salamuuuu"" au kutuma salamu????π€π€π€