Mbona wengi wanapenda kutuma salamu recently?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic.

Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa stage hawana kabisa kweli nyakati zinabadilika
 
Bila picha ya watoa salamu huu uzi haujakamilika....
 
Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic.

Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa stage hawana kabisa kweli nyakati zinabadilika
Ati ni kweli cocastic
 
Skuizi wanavuta bangi na kuangalia porno ndio maana,Kuna mmoja mwaka Jana aliing'ang'ania kuchana vesi kidog aitumbue mic yenyewe
 
Back
Top Bottom