Ukimsikiliza Wenje shida ni JF, mada zilizokuwa zinaanzishwa kwa upotoshaji wa JF ndio, Wenje anatumia kupotosha.
Hii dunia ni ya majungu nimejifunza na media (hata watu wenye influence) wana power ya kujenga narrative kwenye jamii.
Gusa hiyo link uone ‘Terrance Howard’ ambae hajui lolote kuhusu maswala ya Astrophysics anajiropokea na kumu attack ‘Neil deGrasse Tyson’ uone ugomvi uliofuata.
Walio nunua ugomvi sio ‘Terrance Howard’ per per se, ila astrophysicist wengine kama hakina ‘Eric Weinstein’ wenye ugomvi na mainstream astrophysicists hasa washabiki wa ‘string theorists’ kumbe wana ugomvi wao wa unification theory.
Chanzo chote cha matatizo ni ‘Joe Rogan’ podcast, sasa kama anaweza sababisha tibwili kwa wasomi, jiulize kamsaidia vipi Trump kwenye uchaguzi ulioisha.
Ukiwaambia hawa moderators wa JF futeni mada za udini they don’t get it.
Mimi sio shabiki wa Lissu, lakini nilisikiliza press conference yake ya Singida, anayoongea Wenje ni uongo mtupu Lissu hakusema hayo mambo if anything wana copy maelezo yake ya sheria na kuyatumia kumtungia uongo. Na msingi wa hiyo narrative ni mada za JF watu ambao hawakumuelewa Lissu.