sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Album kali lakini hazijafikia Room number 3
Ni research imefanyika.Kigezo gani kimetumika kuonyesha hizi ni album bora za muda wote kuanzia hiyo namba moja hadi namba tano?
Album ya Mbosso ina nyimbo ngapi?Ni research imefanyika.
Research imezingatia vigezo gani ili tuvichambue vizuri?Ni research imefanyika.