Mbosso ameisimamisha nchi kwa masaa kadhaa

Mbosso ameisimamisha nchi kwa masaa kadhaa

Unauhakika Taifa la Tanzania lote limeacha kazi zake na kumsikiliza mbosso.

Namkubali Mbosso Kinyama lakini hili la kusema nchi yote imesimama kumsikiliza Mbosso si kweli.

Hii kamba ni ndefu mno
Kuna watoa taarifa wanapenda kuongeza chumvi ya kitoto! Huyu ni kama Erythrocyte akizungumzia chadema yake
 
View attachment 2400404

View attachment 2400406

Baada tu ya kuachia EP yake sasa nchi yote imesimama inamsikiliza Mbosso.

Kila kona ya taifa la Tanzania basi Mbosso ndiyo habari ya mjini.

Kwa wale waliyokuwa wanaulizia matokeo, kwenye soka tunasemaga "Uwanja umeinama".

Yaaani me nasikia tuu mboso katoa album wala sitaki kusikia nyimbo hata moja maana tz kutengeneza nyimbo hatuwezi
Nashangaa unavyosema kaisimamiha tz ipi na kivipi
 
Extended Playlist.
Ni Extended Play sio Extended Playlist wabongo kwa kuharibu maana, hizo zilikua zinatoka USA tu tangu miaka ya 1950 huko ila wabongo wameanza ku-copy ndio wakaita Extended Playlist

Na Extended Play haitakiwi kuzidi nyimbo 4/5 zikizidi hapo hio sio Extended Play labda ndio hio mmeigeuza sasa inakua Extended Playlist ili zifike hata 10/15 alafu mnaiita EP eti mnachekwa

Screenshot_20221028-203559.png
 
Yaaani me nasikia tuu mboso katoa album wala sitaki kusikia nyimbo hata moja maana tz kutengeneza nyimbo hatuwezi
Nashangaa unavyosema kaisimamiha tz ipi na kivipi
Isikize haina kuforward kila ngoma ni jiwe
 
Nimeusikiliza mmoja tu wa Huyu hapa,jamaa ameimba,ngoja nidownload zote tu.
 
Back
Top Bottom