Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
EP Kali sema boss wake ameamua kumcopy Asake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivip??EP Kali sema boss wake ameamua kumcopy Asake
Extended Playlist.EP ndio nini?
Kuna watoa taarifa wanapenda kuongeza chumvi ya kitoto! Huyu ni kama Erythrocyte akizungumzia chadema yakeUnauhakika Taifa la Tanzania lote limeacha kazi zake na kumsikiliza mbosso.
Namkubali Mbosso Kinyama lakini hili la kusema nchi yote imesimama kumsikiliza Mbosso si kweli.
Hii kamba ni ndefu mno
Aisee ni kweli [emoji16][emoji38]Kuna watoa taarifa wanapenda kuongeza chumvi ya kitoto! Huyu ni kama Erythrocyte akizungumzia chadema yake
View attachment 2400404
View attachment 2400406
Baada tu ya kuachia EP yake sasa nchi yote imesimama inamsikiliza Mbosso.
Kila kona ya taifa la Tanzania basi Mbosso ndiyo habari ya mjini.
Kwa wale waliyokuwa wanaulizia matokeo, kwenye soka tunasemaga "Uwanja umeinama".
Ni Extended Play sio Extended Playlist wabongo kwa kuharibu maana, hizo zilikua zinatoka USA tu tangu miaka ya 1950 huko ila wabongo wameanza ku-copy ndio wakaita Extended PlaylistExtended Playlist.
😂😂😂 Erythrocyte we ni noma kwa chumvi za team Pinga Pinga FcKuna watoa taarifa wanapenda kuongeza chumvi ya kitoto! Huyu ni kama Erythrocyte akizungumzia chadema yake
Unajua sana muziki weweIle shetani ikipigwa club hutoki
Sampling ile inaruhusiwa kwenye gameEP Kali sema boss wake ameamua kumcopy Asake
Isikize haina kuforward kila ngoma ni jiweYaaani me nasikia tuu mboso katoa album wala sitaki kusikia nyimbo hata moja maana tz kutengeneza nyimbo hatuwezi
Nashangaa unavyosema kaisimamiha tz ipi na kivipi