Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Ni kuweka rekodi sawa, na muziki huwa unapigwa public kwa wanaofuatilia na wasioufagilia piaMkuu kwani umelazimishwa kusikiliza huo muziki wa Mboso?
Hao wanaoufuatilia huo muziki wa Mboso waache wafuatilie kama wao wameridhika na wanaupenda,
Hao watu wengine wakifuatilia na kuimba muziki wa Mboso,wewe unapata madhara yeyote yale? kwanini unaumia na kutaka kuwapangia watu maisha? kila mtu yupo huru kufanya akipendacho,ili mradi tu asivunje sheria za nchi,
Minding your own Business is a full time Job,
Stay Employed.
Hadija Kopa kasema wanaume wanaoimba taarabu wanaonekana kama wame left groupKwani taarabu ina shida gani ikiimbwa na mwanaume? Hakuna wanamuziki wa taarabu wa kiume?
Melody na mashairiTaarabu ni maneno au midundo?
Sasa Melody ya Mbossi inafanana na JKT taarabu, au Issa Matona au Patricia Hillary au TOT Taarabu au JAHAZI?Melody na mashairi
ZIna vitu common, mahadhi flani ya kiPwani pamoja na mashairi yake, japo kila muimba taarabu ana kitu chake cha kipekee kama ilivyo miziki mingineSasa Melody ya Mbossi inafanana na JKT taarabu, au Issa Matona au Patricia Hillary au TOT Taarabu au JAHAZI?
Melody hapana, taarab ni mdundo na manenoMelody na mashairi
Kila mahadhi ya Pwani ni taarabu kaka? ina maana utaniambia The Mashrooms wanaimba taarabu pia? Siri yangu ya Jay Dee ile ni taarabu? Nataka kuwa nawewe ya kina Berry Black nayo ni Taarabu?ZIna vitu common, mahadhi flani ya kiPwani pamoja na mashairi yake, japo kila muimba taarabu ana kitu chake cha kipekee kama ilivyo miziki mingine
Nangu nangu kumemena kimaaakooonde nikuimbie๐น๐บ๐๐๐
๐๐Mkuu kwani umelazimishwa kusikiliza huo muziki wa Mboso?
Hao wanaoufuatilia huo muziki wa Mboso waache wafuatilie kama wao wameridhika na wanaupenda,
Hao watu wengine wakifuatilia na kuimba muziki wa Mboso,wewe unapata madhara yeyote yale? kwanini unaumia na kutaka kuwapangia watu maisha? kila mtu yupo huru kufanya akipendacho,ili mradi tu asivunje sheria za nchi,
Minding your own Business is a full time Job,
Stay Employed.
Kuna JKT taarabu tena ??Sasa Melody ya Mbossi inafanana na JKT taarabu, au Issa Matona au Patricia Hillary au TOT Taarabu au JAHAZI?