Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
- Thread starter
-
- #21
Mzee nimesema kila mahadhi ya pwani ni taarabu? HapanaKila mahadhi ya Pwani ni taarabu kaka? ina maana utaniambia The Mashrooms wanaimba taarabu pia? Siri yangu ya Jay Dee ile ni taarabu? Nataka kuwa nawewe ya kina Berry Black nayo ni Taarabu?
Naam ni mashairi ya Taarab haya, sijui kwa nini watu wanabisha su kukasirikaHivyo vikarolaiti vyenu,
nitavipiga marufuku hapa ,
mimi nina rangi yangu,
sina uso wa vibaka,
Mimi nina rangi yangu,
nakopa bado nalipa aaah,
Bandika bandika mmi ,
nabandua tumependana wawili, wewe unajichomeka ,
hakutaki pesa mbili ,
hunijui takataka ,
bandika bandika ,
mm nabandua aah aaaaah, tuulikaaa aaah ,
Sawa sawaUbaya silipizi ubaya
Kisa karanga za kuonjeshwa Leo kanitema kama big G
Aaah mwacheni bwana mbosso Khan aka mhind wa kusini aimbe tu hizo taarabu Mimi namsikiliza.
Sasa usichokijua Taarabu ndio Mdundo wa TaifaHuu muziki wa Mbosso sijawahi kuuelewa, ni taarabu, tena nyingine unakuta Zina matusi ya wazi wazi kabisa
Ila unakuta dume zima linaimba au kufuatisha, halafu linaponda taarabu.
JKT walikuwa wana band ya taarabu miaka ya zamani, sijui kama ipo. JKT walikuwa na almost kila kitu kwenye kila kitu. Patricia Hillary alikuwa muimbaji wa Hii band.Kuna JKT taarabu tena ??
Kaka, Taarabu ni sehemu ndogo tu ya Muziki wa Pwani. Muziki wa Pwani unahusisha Sub Genres kama Benga, Chakacha, Mchiriku/Singeli(hii ya leo) na Taarabu.Mzee nimesema kila mahadhi ya pwani ni taarabu? Hapana
Sijui namna nzuri ya kukuelezea ila Mbosso kwa jinsi anavyopandisha sauti (vocal vibrato/majonzi), na mashairi ya vijembe au mahaba yanafanya nyimbo zake kuwa kama Taarab
Sijui kama unamsikiliza au unabisha tu...kajaribu kutafuta nyimbo kama Hodari, Nadekezwa, Tamba, Yalah, au sitaki kama unafahamu muziki basi utaona Kuna mfanano mkubwa na taarabu
Hii ndio bendera yenu nyie upinde?๐๐
Yetu waimba Taarabu, walamba lips na wabana pua๐Hii ndio bendera yenu nyie upinde?
Hakuna mdundo wa taifa Tanzania na ni ngumu kuwa na mdundo wa taifa kwa sababu za kijiografia. Tuna makundi kimaeneo karibu 6 kimuziki ambayo hayafanani kabisa kimidundo, kiushawishi na lengo la kimuziki.Sasa usichokijua Taarabu ndio Mdundo wa Taifa
kabla ya Mchiriku, kabla ya Mnanda kabla ya Muziki wa Dansi kupata soko Tanzania wakina Ali Choki na Mwijuma Muumini na wengineo FM Academia mziki uliokua una trend enzi zetu ni muziki wa Taarabu na ndio zao la miziki mingine yote unayoisikia sasa hivi mpaka Kwaya na miziki ya Injili na Qaswida unazozisikia zina mahazi fulani ya Taarabu ndani yake vile vionjo ila ni ile Old Taarabu ya zamani kabisa sio hii Modern ambayo sasa imewekwa kando, mziki singeli wanajaribu kuifanyia modifications miziki ile ya Taarabu ila wanachokosea ni kufanya modernization iliyopitiliza naa uimbaji uliokosa mpangilio sababu ya kuimba matusi yasiyokua na afya kwa msikilizaji wakihisi ya kwamba ndio mziki utapendwa zaidi ukijaa matusi
Melodi ya taarabu ni distinct kabisa na ya RnB au Pop au muziki mwingineoMelody hapana, taarab ni mdundo na maneno
Kaka unajua AfroPop ni muziki wa aina gani?Melodi ya taarabu ni distinct kabisa na ya RnB au Pop au muziki mwingineo
Hata akiimba bila mdundo unajua kabisa huyu anaimba taarabu
Kaka sijasema kila muziki wa Pwani ni taarabuKaka, Taarabu ni sehemu ndogo tu ya Muziki wa Pwani. Muziki wa Pwani unahusisha Sub Genres kama Benga, Chakacha, Mchiriku/Singeli(hii ya leo) na Taarabu.
So, Mboso ana vionjo vya Pwani kwenye muziki wake, and you wrong to term it specifically taarabu. Sababu uimbaji wa kuvuta na kupandisha sauti na kuiremba (vocal ornamentation) na kuimba kwa mafumbo haiko kwenye taarabu bali muziki wote wa Pwani ndio asili yake.
nikiusikia naujuaKaka unajua AfroPop ni muziki wa aina gani?
๐๐Dah, sipo single jamani, sema kila mtu ana ladha yake ya muziki.Usisikilize nyimbo za Mbosso kama hauna mpenzi wala mapenzi huyajui utapata dipuresheni bure km hivi mtoa mada,,, sipo single
Haupo single lakini hauna mapenzi,๐ ๐ hebu tuachie mboso wetu๐๐Dah, sipo single jamani, sema kila mtu ana ladha yake ya muziki.
Sorry kama nimemponda kipenzi chako
Sasa Mboso Anafanya AfroPop. AfroPop ni muziki ambao ni vionjo vya kiafrika vinavyochanganywa kwenye Muziki wa kimarekani (Pop).Ndio nikiusikia naujua