Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Benson Kigaila, Mzee wa miaka 57 anatumwa kupeleka barua, kwa nini asimpe kazi huyo? Au John Mrema, kapiga debe mpaka mdomo umeenda upande na sauti imekwama, Mbowe hawaoni?Mbona ccm inateua wahadhili wa vyuo vikuu na wastaafu kama Kinana wakati kuna vijana wanazeeka kwa kukaa benchi za hapo Lumumba
Sasa unalinganisha miaka 57 ya Kigaila na 71 ya Kinana?Benson Kigaila, Mzee wa miaka 57 anatumwa kupeleka barua, kwa nini asimpe kazi huyo? Au John Mrema, kapiga debe mpaka mdomo umeenda upande na sauti imekwama, Mbowe hawaoni?
Ha haa! Hata huku kwetu ni kugumu! Wakati nimefulia niko kitaa sina kazi, niliwaomba wakubwa wa huku kwetu, wanitupe hata wilayani kwenye ajira ya kutembelea Land cruiser chakavu; Wakaona ntafaiidi! Wakanitosa.Benson Kigaila, Mzee wa miaka 57 anatumwa kupeleka barua, kwa nini asimpe kazi huyo? Au John Mrema, kapiga debe mpaka mdomo umeenda upande na sauti imekwama, Mbowe hawaoni?
Jibu zuriMbona ccm inateua wahadhili wa vyuo vikuu na wastaafu kama Kinana wakati kuna vijana wanazeeka kwa kukaa benchi za hapo Lumumba
Unaandika kwa chuki sana ila huna utakachofanya kubadilisha hali uliyoko nayo sanasana unajilimbikizia maradhi ya moyoBenson Kigaila, Mzee wa miaka 57 anatumwa kupeleka barua, kwa nini asimpe kazi huyo? Au John Mrema, kapiga debe mpaka mdomo umeenda upande na sauti imekwama, Mbowe hawaoni?
Hiyo barua ilikuwa upelekewe Wewe sema mimba yako isiyokuwa na Baba kwenye umri wako huu wa miaka 23 ndio iliyokusumbua.Benson Kigaila, Mzee wa miaka 57 anatumwa kupeleka barua, kwa nini asimpe kazi huyo? Au John Mrema, kapiga debe mpaka mdomo umeenda upande na sauti imekwama, Mbowe hawaoni?
Vipi kama akakutafutia na wewe?Nimeona tamko la Mbowe kumtafutia mbunge mmoja ajira ya mshahara wa milioni 34.
Hiki chama asilimia kubwa hawana ajira, wanaganga njaa, kwanini hawatafutii ajira hawa?
Vijana wa chadema, hata hili mmeshindwa kuhoji?
View attachment 2226158