Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilijua ile kauli ya kumtafutia Mdee kazi ya mshahara wa 34.9 M Mbowe itamrudia tu.
Si kwa njaa hizi za wabongo.
Yani hata kama si lawama, huko inbox lazima Mwenyekiti anapata tabu sana kujaziwa maombi ya kazi.
I don't think that detail was necessary.
Tatizo la Mbowe ni kwamba, mazungumzo anayotakiwa aweke wazi sana, kama anaongea nini na Rais Samia kwenye vikao vyao, haweki wazi sana. Halafu mazungumzo ambayo hakukuwa na ulazima wa kuyaweka wazi sana, kama mshahara wa kazi aliyomtafutia Mdee, anayaweka wazi sana.