Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Samia ameuvuka mtego mmoja katika utawala wake, bado ana mitego 2 mbele.

1.katiba mpya.
2.tume huru.
 
Watakuwa wanajiharishia tu
 
Hao ni madalali wa siasa
 
Mataga pori umepanic baada ya DPP kuingia mitini.
Najua leo utaharisha damu kweri-kweri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pambafu.
Bavicha nyie ni vichwa maji kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23]

Mtu wenu anasota gerezani mwaka mzima alafu walewale watesi wake wanakuja kusema aahh hatuna nia na kuendelea na kesi alafu nyie mnaanza kushangilia? Kama si uzuzu ni nini?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba hujafurahia Mbowe kuachiwa huru
 
Haya sasa wale midomo kama chuchunge wako wapi
 
Mataga pori umepanic kweri-kweri baada ya DPP kusurrender.

Leo itabidi utembee na pampers maana ushaanza kuharisha damu kweri-kweri 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…