Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Samia ameuvuka mtego mmoja katika utawala wake, bado ana mitego 2 mbele.

1.katiba mpya.
2.tume huru.
 
Wiki iliyopita Dr. Wilbrod Slaa alisikika akisema anakerwa na neno #Mbowesiyogaidi na hakuwahi hata kwenda kumjulia hari gerezani aliyekuwa kiongozi mwenzake kwa kipindi kirefu. Leo Mbowe siyo gaidi na mahakama imethibitisha hivyo kwa kumfutia mashataka yake yote tena bila masharti. Slaa na mwezake Zitto aliyesema Mbowe ana changamoto za kisheria hivyo asamehewe kwa sasa wanajionaje mbele ya jamii.
Watakuwa wanajiharishia tu
 
Hao ni madalali wa siasa
 
Mataga pori umepanic baada ya DPP kuingia mitini.
Najua leo utaharisha damu kweri-kweri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pambafu.
Bavicha nyie ni vichwa maji kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23]

Mtu wenu anasota gerezani mwaka mzima alafu walewale watesi wake wanakuja kusema aahh hatuna nia na kuendelea na kesi alafu nyie mnaanza kushangilia? Kama si uzuzu ni nini?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Taifa letu limefikia pabaya kabisa maana haki hakuna kabisa.

Limekuwa ni taifa lenye kusikiliza walio na pesa na wasio na pesa au connection wanafungwa huku wenye pesa na connection wanaachiwa.

Hakuna haki hapa Tanzania kila kitu ni kunyanyasana tu uonevu.
Kwamba hujafurahia Mbowe kuachiwa huru
 
Haya sasa wale midomo kama chuchunge wako wapi
 
Bavicha nyie ni vichwa maji kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23]

Mtu wenu anasota gerezani mwaka mzima alafu walewale watesi wake wanakuja kusema aahh hatuna nia na kuendelea na kesi alafu nyie mnaanza kushangilia? Kama si uzuzu ni nini?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mataga pori umepanic kweri-kweri baada ya DPP kusurrender.

Leo itabidi utembee na pampers maana ushaanza kuharisha damu kweri-kweri 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom