Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Toeni propaganda hapa..hao walitumwa kuomba msamaha ili ionekane ni Rais kawasamehe.

Lakin ukweli ni kwamba, serikali ilikuwa inaenda kuaibika sasa
 
Mwanaccm yoyote aliyeshiriki ama kwa kukamata,kusherehekea/kufurahia,kumtuhumu jambo asillolifanya mbowe kisa wanadola, Mungu awapige laana na vizazi vyao na wote waliosema mbowe gaidi huwo ugaidi uawarejee wao na mamayo na babayo na watoto wao wote.

Sitaki kelele na povu bovu milomo.
 
Mimi swila siyo mgonjwa wewe ebu futa kauli,nilikua naigiza, Hivi unadhani yale maswali ni ya mchezo mchezo, unapigwa swali unasikia ubongo unakwambwania bro hilo swali silijui wala sihusiki nalo komaa mwenyewe
 
Nimekuwa ni kisema tuishi kwa upendo na tupendane tusishindwe kisalimiana au kusaidiana Kwa sababu ya chuki.
 
Nimefurahi sana kusikia ivyo Mbowe sio gaidiπŸ˜€πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hilo tu ndilo la muhimu kuliko yote kwa sasa na karne nyingi zijazo.
 
Toeni propaganda hapa..hao walitumwa kuomba msamaha ili ionekane ni Rais kawasamehe. Lakin ukweli ni kwamba, serikali ilikuwa inaenda kuaibika sasa
Mbowe ndie ataelewa nilichoandika hapo aondoke na sentensi moja tu ASIRUDIE TENA

Kama wazee wa kicjaga mpo humu mwambieni neno moja tu USIRUDIE TENA ataelewa
 
Acha kujifariji, ila hapa ndipo unafiki wako wa kiwango cha juu ulipooneshwa.

Wewe ni miongoni mwa waliokuwa wanawaaminisha memba humu jf kuwa lazima Mbowe afungwe, leo unataka kujifariji kwa kuhamisha goli kuwa wewe kama ccm umeridhika na kukaa kwake mahabusu bila kutafakari madhara kwa upande wa serikali, mifumo ya kisheria lakini pia napokeo ya jambo hili kwa Wananchi wa kawaida.

Kama wewe ndiye mtetezi na mshauri kwa ccm basi wewe ni janga lisilo na mfano.

Ujue tu kuwa hili mliokuwa mmelipanga limekuwa sawa na "kumpiga chura take" kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…