Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Mh Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha kuwa anataka kulileta Taifa pamoja bila kuoneana na masikilizano kwa Watanzania wote.
Samia amehusikaje hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha kuwa anataka kulileta Taifa pamoja bila kuoneana na masikilizano kwa Watanzania wote.
Kama huku siyo kushindwa nipe definition mpya ya kushindwa.
Toeni propaganda hapa..hao walitumwa kuomba msamaha ili ionekane ni Rais kawasamehe.Azingatie ushauri wa Mufti mzee wa Bakwata mzee wa hekima alioyemba Raisi kuwa amsamehe Mbowe ila mkanye asirudie tena
Hawa wazee huyo Mufti na Pengo wakiongea kitu kauli zao huchukuliwa kwa uzito mkubwa mno sababu wanatambua kazi zao kama viongozi wa dini wako Cool na self disciplined
Nafikiri Mbowe mtu mzima ataelewa kwa nini katoka asirudie tena kupanga ugaidi.Somo kalipata na kajua hii nchi sio ya kuchezea asirudie tena
Ubongo wako sawa na wa kuku tu. Umesahau yote uliyoandika huko nyuma kuhusu ugaidi wa Mbowe[emoji23][emoji23][emoji23]Kqmata weka ndani mwaka mzima, achia huru! Shangilia
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mimi swila siyo mgonjwa wewe ebu futa kauli,nilikua naigiza, Hivi unadhani yale maswali ni ya mchezo mchezo, unapigwa swali unasikia ubongo unakwambwania bro hilo swali silijui wala sihusiki nalo komaa mwenyeweKesi imetufundisha mengi
1. PGO.....Polisi wengi waandamizi hawaifahamu PGO ambayo ndio departmental instruction ya polisi
2. Maafisa wengi wa polisi Wana panic mbele ya mawakili
3. Swila ni mgonjwa.
4. Kutengeneza kesi ya michongo kunahitaji mtu mwenye IQ ya juu.
5. Katika kitu Cha kutunga you can not cover all angles.
Mbowe karibu utaiani
Nimekuwa ni kisema tuishi kwa upendo na tupendane tusishindwe kisalimiana au kusaidiana Kwa sababu ya chuki.Azingatie ushauri wa Mufti mzee wa Bakwata mzee wa hekima alioyemba Raisi kuwa amsamehe Mbowe ila mkanye asirudie tena
Hawa wazee huyo Mufti na Pengo wakiongea kitu kauli zao huchukuliwa kwa uzito mkubwa mno sababu wanatambua kazi zao kama viongozi wa dini wako Cool na self disciplined
Nafikiri Mbowe mtu mzima ataelewa kwa nini katoka asirudie tena kupanga ugaidi.Somo kalipata na kajua hii nchi sio ya kuchezea asirudie tena
Akili zenu mnazijua wenyewe!Yaani hapo unaona unatetea Chama chako kumbe ndio unakipaka mavi mbele ya watu wenye akili timamu![emoji23][emoji23][emoji23]Kamata weka ndani mwaka mzima, achia huru! Shangiliaaa
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwani wewe siasa unazijua basiUbongo wako sawa na wa kuku tu. Umesahau yote uliyoandika huko nyuma kuhusu ugaidi wa Mbowe
Aha aha haaaView attachment 2138339
Wamebana wameachia
Bwashee ccm ni jitu kubwa sana lileAkili zenu mnazijua wenyewe!Yaani hapo unaona unatetea Chama chako kumbe ndio unakipaka mavi mbele ya watu wenye akili timamu!
Kwa Nchi yetu ilipofikia tupiganie katiba mpya kwa nguvu kubwa zaidi ili asitokee Tena kuongozi wa kuumiza watanzania wenzake kwa mambo ya kisiasa .Napenda Watanzania tuoendane na tusibaguane kwa itikadi za kisiasa.Kama mtu amekosea basi ahukumiwe kwa sheria na sio kisiasa.Tuipiganie nchi yetu ipate katiba mpya kwa maendeleo ya Tanzania.
Una akili kweli wewe?Je, ni huruma ya jamhuri?
Mbowe ndie ataelewa nilichoandika hapo aondoke na sentensi moja tu ASIRUDIE TENAToeni propaganda hapa..hao walitumwa kuomba msamaha ili ionekane ni Rais kawasamehe. Lakin ukweli ni kwamba, serikali ilikuwa inaenda kuaibika sasa
Acha kujifariji, ila hapa ndipo unafiki wako wa kiwango cha juu ulipooneshwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu usiwe pumbavu kiasi hiki!
Mtu kasota rumande karibia mwaka, na ndio lengo la ccm hilo au wewe ulifikiri ccm wanataka nini zaidi ya hicho?
Utakuta mnaanza kushangilia kama mazuzu! Yani ni sawa na mtu anakubutua makofi ya kutosha alafu baadae anakuambia nenda tu, kisha unaanza kushangilia!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Huko siyo kushinda bali watesi wenu wameona mateso waliyowapa yanatosha!Kama huku siyo kushindwa nipe definition mpya ya kushindwa.