Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Azingatie ushauri wa Mufti mzee wa Bakwata mzee wa hekima alioyemba Raisi kuwa amsamehe Mbowe ila mkanye asirudie tena

Hawa wazee huyo Mufti na Pengo wakiongea kitu kauli zao huchukuliwa kwa uzito mkubwa mno sababu wanatambua kazi zao kama viongozi wa dini wako Cool na self disciplined

Nafikiri Mbowe mtu mzima ataelewa kwa nini katoka asirudie tena kupanga ugaidi.Somo kalipata na kajua hii nchi sio ya kuchezea asirudie tena
Toeni propaganda hapa..hao walitumwa kuomba msamaha ili ionekane ni Rais kawasamehe.

Lakin ukweli ni kwamba, serikali ilikuwa inaenda kuaibika sasa
 
Mwanaccm yoyote aliyeshiriki ama kwa kukamata,kusherehekea/kufurahia,kumtuhumu jambo asillolifanya mbowe kisa wanadola, Mungu awapige laana na vizazi vyao na wote waliosema mbowe gaidi huwo ugaidi uawarejee wao na mamayo na babayo na watoto wao wote.

Sitaki kelele na povu bovu milomo.
 
Kesi imetufundisha mengi

1. PGO.....Polisi wengi waandamizi hawaifahamu PGO ambayo ndio departmental instruction ya polisi

2. Maafisa wengi wa polisi Wana panic mbele ya mawakili

3. Swila ni mgonjwa.

4. Kutengeneza kesi ya michongo kunahitaji mtu mwenye IQ ya juu.

5. Katika kitu Cha kutunga you can not cover all angles.

Mbowe karibu utaiani
Mimi swila siyo mgonjwa wewe ebu futa kauli,nilikua naigiza, Hivi unadhani yale maswali ni ya mchezo mchezo, unapigwa swali unasikia ubongo unakwambwania bro hilo swali silijui wala sihusiki nalo komaa mwenyewe
 
Azingatie ushauri wa Mufti mzee wa Bakwata mzee wa hekima alioyemba Raisi kuwa amsamehe Mbowe ila mkanye asirudie tena

Hawa wazee huyo Mufti na Pengo wakiongea kitu kauli zao huchukuliwa kwa uzito mkubwa mno sababu wanatambua kazi zao kama viongozi wa dini wako Cool na self disciplined

Nafikiri Mbowe mtu mzima ataelewa kwa nini katoka asirudie tena kupanga ugaidi.Somo kalipata na kajua hii nchi sio ya kuchezea asirudie tena
Nimekuwa ni kisema tuishi kwa upendo na tupendane tusishindwe kisalimiana au kusaidiana Kwa sababu ya chuki.
 
Nimefurahi sana kusikia ivyo Mbowe sio gaidi😀😅😅😅😅
 
Hilo tu ndilo la muhimu kuliko yote kwa sasa na karne nyingi zijazo.
Kwa Nchi yetu ilipofikia tupiganie katiba mpya kwa nguvu kubwa zaidi ili asitokee Tena kuongozi wa kuumiza watanzania wenzake kwa mambo ya kisiasa .Napenda Watanzania tuoendane na tusibaguane kwa itikadi za kisiasa.Kama mtu amekosea basi ahukumiwe kwa sheria na sio kisiasa.Tuipiganie nchi yetu ipate katiba mpya kwa maendeleo ya Tanzania.
 
Toeni propaganda hapa..hao walitumwa kuomba msamaha ili ionekane ni Rais kawasamehe. Lakin ukweli ni kwamba, serikali ilikuwa inaenda kuaibika sasa
Mbowe ndie ataelewa nilichoandika hapo aondoke na sentensi moja tu ASIRUDIE TENA

Kama wazee wa kicjaga mpo humu mwambieni neno moja tu USIRUDIE TENA ataelewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu usiwe pumbavu kiasi hiki!

Mtu kasota rumande karibia mwaka, na ndio lengo la ccm hilo au wewe ulifikiri ccm wanataka nini zaidi ya hicho?

Utakuta mnaanza kushangilia kama mazuzu! Yani ni sawa na mtu anakubutua makofi ya kutosha alafu baadae anakuambia nenda tu, kisha unaanza kushangilia!
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Acha kujifariji, ila hapa ndipo unafiki wako wa kiwango cha juu ulipooneshwa.

Wewe ni miongoni mwa waliokuwa wanawaaminisha memba humu jf kuwa lazima Mbowe afungwe, leo unataka kujifariji kwa kuhamisha goli kuwa wewe kama ccm umeridhika na kukaa kwake mahabusu bila kutafakari madhara kwa upande wa serikali, mifumo ya kisheria lakini pia napokeo ya jambo hili kwa Wananchi wa kawaida.

Kama wewe ndiye mtetezi na mshauri kwa ccm basi wewe ni janga lisilo na mfano.

Ujue tu kuwa hili mliokuwa mmelipanga limekuwa sawa na "kumpiga chura take" kisiasa.
 
Back
Top Bottom