Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Sasa zito ana kosa gani na alimuomba mheshimiwa Rais amsaidie atoke gerezani!

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ujue itakurudia hiyo laana unayorusha kijinga

Mbowe katoka neno kuu anapotoka ni ASIRUDIE TENA
 
Nasikia Gaidi limelia weeeeeeeeee hadi limetoa mikamasi ndio likaonewa huruma.

Hongera sana mama, akirudia tena kuleta upumbavu wake asije kusema hajaambiwa.
mazatozo anakula matapishi yake sasa anajificha kwenye kivuli cha dpp na viongozi wa dini, aende bbc kukanusha sasa
 
Usiwe kama mtoto mdogo!

Siku zote ccm huwa inawakomesha tu wapinzani wake.

Na hapa wala hata msisgangilie kwamba mmeshinda bali mnapaswa kujilaumu na kujiuliza kwamba inakuwaje ccm inawageuza geuza kama chapati namna hii!?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Bwashee ccm ni jitu kubwa sana lile

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ndio mnazidi kuwafumbua macho watu kuwa Katiba mpya inahitajika Ili kuondoa huu uozo!

kama Rais anashiriki dhambi ya Kumbambika mtu kesi,anapata mamlaka wapi ya kuwakemea askari wenye tabia hizo?

Nchi hii inahitaji reform kubwa sana kutoka hapa!

Msipofanya hivyo,basi ombeni mtawale milele maana mtanyolewa na wembe Huo Huo!
 
KWANZA NAOMBA IANDIKWE KITABU KUHUSU HII KESI
PILI, MBOWE AMEONESHA UIMARA, KWELI NI MWAMBA. NO RETREAT NO SURRENDER.
BRAVO MAN!
 
Nikimfikiria Luteni urio nashindwa kuelewa ni binadamu wa aina gani? Mateso na tabu aliyowasababishiq kina Adamoo na Ling'wenya na familia zao ni mtu asiyestahili msamaa kabisa.

Karibu mheshimiwa Mbowe uraiani tena. Mapambano ndio kwanza yanaanza.

#tunaendeleaTulipoishia#
✌✌✌✌
 
Mbowe ndie ataelewa nilichoandika hapo aondoke na sentensi moja tu ASIRUDIE TENA

Kama wazee wa kicjaga mpo humu mwambieni neno moja tu USIRUDIE TENA ataelewa
Anatoka gerezani anaenda Moja Kwa Moja kuhamasisha wananchi juu ya Katiba mpya!Anzeni kumtengenezea kesi nyingine,Shwain!
Yaani siku mtu anapotaka kuanza kujitetea ndio mnafuta kesi,aibu!
 
N
Namtafuta Comte, Magonjwa , mtambuka, Yehodava, hasta sip mbaya nikimsalimia rafiki yangu Johnthebaptist🤔
Hujaniona au nacho huna?

Mwambieni neno moja tu umetoka USIRUDIE TENA
 
Kama hii iliyopo inakanyagwa na mmekaa kimya, hata hiyo mpya itakanyagwa na hamna kitu mtafanya

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…