Sasa zito ana kosa gani na alimuomba mheshimiwa Rais amsaidie atoke gerezani!Wiki iliyopita Dr. Wilbrod Slaa alisikika akisema anakerwa na neno #Mbowesiyogaidi na hakuwahi hata kwenda kumjulia hari gerezani aliyekuwa kiongozi mwenzake kwa kipindi kirefu. Leo Mbowe siyo gaidi na mahakama imethibitisha hivyo kwa kumfutia mashataka yake yote tena bila masharti.
Slaa na mwezake Zitto aliyesema Mbowe ana changamoto za kisheria hivyo asamehewe na mwenzao IGP aliyemdanganya mama kwa sasa wanajionaje mbele ya jamii.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app