Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Chifu Hangaya alibebeshwa tu mzigo huu. Hili jambo lilibuniwa wakati wa lile jibwa kutoka burigi. Alhamdulilah!
 
Tatizo, wewe na WAJINGA wenzio, mlikuwa mnataka, hata ikiwezekana MBOWE anyongwe kabisa! Sijui hixo ROHO MBAYA, zitawafikisha wapi! Dunia hii, wote ni wapitaji tu!
 

Yaani ni contradiction kubwa. Sijui wanasheria za jinai watasemaje?

DPP huwa anaingiza “nolle prosequi” kama hana ushahidi madhubuti dhidi ya mtuhumiwa. Sasa hapa wameacha kesi imeendelea hadi mahakama kuthibitisha kuwa ushahidi wa mwendesha mashtaka umewakuta kina Mbowe wana kesi ya kujibu.

Kabla hawajaanza kujitetea DPP anajitoa! Mahakama inasimama wapi hapo?

Ni aibu juu ya aibu!
 
Asante Sana ,karibu uraiani Mh Mbowe ,pongezi Sana kwa mama Samia kwa utawala ulio tukuka
 
Ungesema haya kwa jiwe pia ungeonekana mtu anayejielewa, sasa hivi unaonekana mataga pori tu mwenye gubu.
Ccm inaweza kumfanya mtu yeyete hapa nchini inachotaka!

Hangaya angeamua kumfunga Mbowe angemfunga bila shida yeyote

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…