Muwashukuru hao sasa, maana bila wao bwana enu angekua ndani badodubai kwa mabwana zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muwashukuru hao sasa, maana bila wao bwana enu angekua ndani badodubai kwa mabwana zake
Ingekuwa ni wakati wa jiwe ungesema haya au umefura baada kukosa ulichokuwa unatamani kiwe?!
Aibu wakati mtu katoa kamasi hadi kaomba pooh,ooh sili vizuri,ooh sijui nini na nini,jela mchezoUvccm hamna pakujificha mnaona aibu
Kama wameona yametosha ndiyo kushindwa kwenyewe
Njaa haina mbabeMungu wabariki Wazungu
Tatizo, wewe na WAJINGA wenzio, mlikuwa mnataka, hata ikiwezekana MBOWE anyongwe kabisa! Sijui hixo ROHO MBAYA, zitawafikisha wapi! Dunia hii, wote ni wapitaji tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu usiwe pumbavu kiasi hiki!
Mtu kasota rumande karibia mwaka, na ndio lengo la ccm hilo au wewe ulifikiri ccm wanataka nini zaidi ya hicho?
Utakuta mnaanza kushangilia kama mazuzu! Yani ni sawa na mtu anakubutua makofi ya kutosha alafu baadae anakuambia nenda tu, kisha unaanza kushangilia!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Unafurahia Hilo ukiwa raia halali kabisa wa JMT?What a shame!Kama hii iliyopo inakanyagwa na mmekaa kimya, hata hiyo mpya itakanyagwa na hamna kitu mtafanya
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ndio shida ya kutumika!Aibu Kwa Jaji Kwa maamuzi aliyofanya!Watu wamebumba ushahidi wakaja kuuleta mahakamani,kila mtu akaona ni ushahidi wa mchongo na hakuna kesi!Jaji akasukumwa kuamua kuwa Wana kesi ya kujibu!Kabla hawajaanza kujitetea DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi maana ushahidi alionao ni crap!
Jaji unajisikiaje huko uliko?Ungeyajua haya,Bado uamuzi wako ungekuwa watuhumiwa Wana kesi ya kujibu?
Duh! Hebu waoneni hawa. Wana tofauti gani na wale wafuasi wa yule mfalme Zumaridi?
Zitto sio Dalali ni MAMLUKI (mercenary). He has a price tag! Ukifika bei unamchukua!Dalali zitto Sasa hivi yupo karibu na maliwatoni, anajambajamba tu
Naam! Kupandisha mzuka na kugalagala chini si kosa!!!Hawajatenda dhambi wala kuvunja sheria ya nchi, woyoooooooooooo
Ccm inaweza kumfanya mtu yeyete hapa nchini inachotaka!
Hangaya angeamua kumfunga Mbowe angemfunga bila shida yeyote
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app