Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Zumaradi na mbowe mbona n maji na mafutaa mkuu!!



Maana zumaradi anasubiri neno la MUNGU

Mbowe anasubiri siasaa
 
Kwa hiyo mbowe anajipanga kupambana na chifu kuanzia kwenye katiba mpya na uchaguzi wa 2025........awe makini asije akapigwa zengwe kama la ndugai akajikuta kwenye benchi...........
 
"sisi tuliokuwa tunawaaminisha watanzania kuwa mbowe ni gaidi na anastahili kufungwa jela maisha, tutaambia nini watu"?. wamesikika jamaa fulani wa chama tawala.
 
Mahakama na magereza hizi issues huwa tunawasingizia tu shida iko kwetu uraiani huku tungekuwa na hofu ya Mungu .

haya yote yasingekuwepo kwa sababu sisi kwa sisi ndiyo tunasingiziana makosa na kupelekana huko sasa mpaka mahakama ije ijuwe huna kosa umesota sana na pengine mahakama ishindwe kujuwa kuwa huna kosakutokana na mshitaki alivyojipanga kukushitaki

mahakimu siyo malaika waweze kujua moja kwa moja kuwa huyu hana kosa wao wanacheza na sheria tu
 
"sisi tuliokuwa tunawaaminisha watanzania kuwa mbowe ni gaidi na anastahili kufungwa jela maisha, tutaambia nini watu"?. wamesikika watu fulani wa chama tawala.
sasa hapo kwani nani kashinda? kesi haijamalizika mwisho utasema mbowe kashinda? kahurumiwa awashhukuru wakuu wa dini mama kawaelewa
 
Kule kote kufanya vile ilikuwa unafiki tu! Hakuwa anafanya hivyo kwa nia njema.
Ulijuaje kama ni unafiki? Na kwanini Zitto kusema vile ni unafiki ila Lisu sio unafiki? Au alichoomba Zitto kina tofauti na Lisu?
 
Roho za paka ndio hizi
Sipendi Mbowe na wenzie waendelee kuwa mahabusu, lakini pia sipendi kusikia ameachiwa kwa MSAMAHA! Kama ni hivyo, basi kesi iendelee tuzijue mbivu na mbichi!

Na nina imani, kwa ushahidi uliotolewa, bila UJAJI WA MCHONGO, kulikuwa hakuna KESI hapo!
.
 
Zito kanipiga kitofali twita
 
CHADEMA wanaonyesha hisia kwa kugalagala 🤣🤣🤣.

Waone na hawa wenzao!

Aisee we Jamaa nafkiri umeamua kukaza kichwa tu..


We feel joy in our bodies because of the release of dopamine and serotonin, two types of neurotransmitters in the brain. Both of these chemicals are heavily associated with happiness (in fact, people with clinical depression often have lower levels of serotonin)

Wewe utakua na tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…