Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawana soni hao. Wanaweza hata kwenda haja kubwa pale kwa Mkapa kukiwa full na bado wakasema walikuwa wanatema maganda ya karanga tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawana soni hao. Wanaweza hata kwenda haja kubwa pale kwa Mkapa kukiwa full na bado wakasema walikuwa wanatema maganda ya karanga tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapanic nini sasa dogo?Kwasababu wewe ni MBOGA ya watu hapo lumumba unaamini watanzania wote wanafiiirwa kama wewe!!!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema Tanzania kuna vituko sana kmmkHapa Mbowe ndio mshindi na maushingi ndio looser.
Mbowe sasa atakuwa mwanasiasa bora kabisa wa nchi hii baada ya Mwalimu Nyerere.
Unawajua wanasiasa wachumia tumbo? Basi huyo Zitto ndio mchumia tumbo namba moja!Majinga hayo machumia tumbo achana nayo Zitto
Mahakama na magereza hizi issues huwa tunawasingizia tu shida iko kwetu uraiani huku tungekuwa na hofu ya Mungu .Hii inaonyesha nchi hii inamateso sana.
Kama wanafanya haya kwa Mbowe.. Mtu wa kawaida akibambikwa kesi si anafia jela?
Mbowe amesaidiwa sana na Wanasheria kuonyeasha udhaifu wa kesi.. Je ni watu wangapi wapo ndani hawana wanasheria?
Tunalalamika jela zimejaa na mahabusu lakini nina imani kesi nyingi ni za kutengeneza hasa kama mtu anakuchukia.. Anakutengenezea kesi hata ya kubaka au wizi.. Unakwenda na maji.
Tuombe hasa Katiba ibadilike kidogo hata polisi wataogopa kutengeneza kesi
Changamoto gani za kisheria.Sasa zito ana kosa gani na alimuomba mheshimiwa Rais amsaidie atoke gerezani!
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
sasa hapo kwani nani kashinda? kesi haijamalizika mwisho utasema mbowe kashinda? kahurumiwa awashhukuru wakuu wa dini mama kawaelewa"sisi tuliokuwa tunawaaminisha watanzania kuwa mbowe ni gaidi na anastahili kufungwa jela maisha, tutaambia nini watu"?. wamesikika watu fulani wa chama tawala.
Ulijuaje kama ni unafiki? Na kwanini Zitto kusema vile ni unafiki ila Lisu sio unafiki? Au alichoomba Zitto kina tofauti na Lisu?Kule kote kufanya vile ilikuwa unafiki tu! Hakuwa anafanya hivyo kwa nia njema.
.Sipendi Mbowe na wenzie waendelee kuwa mahabusu, lakini pia sipendi kusikia ameachiwa kwa MSAMAHA! Kama ni hivyo, basi kesi iendelee tuzijue mbivu na mbichi!
Na nina imani, kwa ushahidi uliotolewa, bila UJAJI WA MCHONGO, kulikuwa hakuna KESI hapo!
Yule mzee lazima atakuwa ni mchawi
Yule mama muhaya alituokoa sanaMimi nilikuwa najiuliza, hivi kwa sura ile ya kichawi akiwa raisi mbona kama picha zitakuwa haziko sawa... sema basi tu Mungu ni mwema... Joyce Mushumbusi akaikoa nji hii..
Zito kanipiga kitofali twitaWiki iliyopita Dr. Wilbrod Slaa alisikika akisema anakerwa na neno #Mbowesiyogaidi na hakuwahi hata kwenda kumjulia hali gerezani aliyekuwa kiongozi mwenzake kwa kipindi kirefu. Leo Mbowe siyo gaidi na mahakama imethibitisha hivyo kwa kumfutia mashataka yake yote tena bila masharti.
Slaa na mwezake Zitto aliyesema Mbowe ana changamoto za kisheria hivyo asamehewe na mwenzao IGP aliyemdanganya mama kwa sasa wanajionaje mbele ya jamii.
CHADEMA wanaonyesha hisia kwa kugalagala 🤣🤣🤣.
Waone na hawa wenzao!