Sisi sio magaidi Wala waasi!Si unaona mpaka unatushangaa tulivyojaliwa utu na utulivu!Ndio hulka yetu hiyo,ndio maana hadi nje ya nchi hawakuamini huo mchongo wenu wa ugaidi!Hamjielewi!
Kenya tu hapo yani selikali imfunge mtu wa upinzani kingenuka mapemaa!
Ila nyie hapa mtu kazoea jela mpaka ameombewa msamaha na maaskofu. Kisha naada ya kuachiwa mnaanza kushangilia? Huo ndio maana halisi ya uzuzu sasa.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hujui kuwa Mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu? Kesi ya ugaidi!!!!!!!
Sahivi watu wanauelewa, you can't fool people that easily, politics is the game in town, na mijini watu sio wajinga kiasi hichi!! Inaeleweka wazi kuendelea na hiyo kesi ilikuwa ni ujinga, hamna walichoongeza zaidi ya kupunguza!!Hiyo ndio ilikuwa plan wakutwe na hatia ya kujibu halafu msamaha utakuja kwa sababu mahakam ingesema hawana cha kujibu ingechafua serikali ila kwa sasa inaonekana kama msamaha tu wa mama lakini walikuwa na la kujibu. Mahakama ikisema una lakujibu ina maana kuna shida sasa DPP ndiye wa kuulizwa vipi unawaachia magaidi mtaani?
Kuna watu wameumia vibaya sana hii kesi kufutwa.. Lakini hasira zao kwa kutumia ID bandia wasiwadhalilishe watu wenye dhamana kubwa kwenye jamiiDah pole Mhe Mbowe umepitia mateso
Tunamshukuru Mungu kwa kulinda na kukupa ujasiri wa kuvumilia yote
Karibu nyumbani uraiani
Unastahili heshima tele
Mmepoteza muda na pesa za walipa kodi
Mtamlipa gharama zake za kusingiziwa kutukanwa kuteswa kudhalilishwa hivi sisiemu mbona mnakosa utu kiasi hiki
Endelea huko Zambarau Hakuna la maana la kutueleza.WaTz ni watu wa ajabu sana huwa hajui kuunganisha maisha na matukio ya watu hasa makada wa chama tawala.
Mbowe kama walivyo wanasiasa wengine wa upinzani wa Tz ni sehemu ya serikali na wamelelewa na serikali na wapo kufanya uzandiki ili serikali iishi.
Watu waliaminishwa kuna kesi hiyo na kushabikia wakasahau maumivu yao sasa imefutwa na mbowe anarudi uraiani baada ya kumaliza kazi ya kuwanyamazisha Watz na tozo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huna lolote wewe!Nampongeza Zitto Zuberi Kabwe, Tundu Lissu na viongozi wa dini kwa kumuombea msamaha kiongozi wa upinzani nchini ndugu Freeman Mbowe kwa makosa aliyoyafanya. Pia nampongeza kwa dhati Rais Samia Suluhu kwa kuamua kusikiliza ombi la Zitto Kabwe kisha kumsamehe Mbowe na wenzake watatu.
Mwisho nakipongeza sana Chama Cha Mapinduzi kwa kugundua kesi hii haikuwa na maslahi kwa chama chetu na kupitia msamaha mwenyekiti Samia atazidi kujizolea sifa na kuaminika zaidi na wananchi. Leo ni siku ya ushindi mkubwa sana kwa CCM kwa kucheza karata zake vizuri kisiasa.
Hana uwezo huo.Yeah lakini with conditions kitu ambacho Mh.Mbowe hawezi kukifanya kabisa hata mwanasiasa yoyote makini.
Yaani utendewe kosa wewe afu upige goti kuomba msamaha..inakuja kweli hiyo.
Yaani ni kwamba ukiomba msamaha ina maana ulifanya hicho kitendo na busara za DPP anakuachia lakini kuna makubaliano mtaafikiana wewe na mahakama tena ya kisheria ndipo unaachiwa. Wengi wanadhani unatoka tu as simple as that hapana.
Baada ya hapo utarudi mtaani bila nguvu ya kisiasa maana wewe mi muharifu mwenye msamaha wa DPP...muda wowote akijiskia anaifufua kesi.
Afukuzwe kwa kuaibisha jeshiAibu kubwa kwa luten urio
Ikawaje Gaidi kuachiwa?Hujui kuwa Mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu? Kesi ya ugaidi!!!!!!!
Gaidi mwenyeweIkawaje Gaidi kuachiwa?
We mnafiki kila siku siti ya mbele.Hatq ibadan huwa mnakua kama mafarisayo...siti za mbeleee ila mkamsurubisha masihi..IdiotMungu wa mbinguni awabariki nyote.
Leo kuna Ibada ya Njia Ya Msalaba aliyopitia Bwana wetu Yesu Kristo kuelekea kwenye ukombozi wa Wana wa Mungu.
Ni imani yangu Simon wa Kirene atatuongoza!
Updates;
Nawatakia Chadema wote Ibada njema ya Njia ya Msalaba.
Mungu ni MWEMA wakati wote.
Jumaa kareem.
The End.
How did u know this man?Naona kila dalili ya DPP kuikacha hii kesi!