Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ndiyo maana tunapigania kupata katiba mpya.Well said mku
Hajawahi kuwa muoga kuishauri au kuikemea serikali.Safi baba askofu
Huyu ndiye Desmond tutu wetu
Hajui kujipendekezaUishi maisha marefu Askofu Bagonza
Leo hii watakuwa wapo wamevimbiana huko lumumba.CCM chama cha kikoloni.
Tena huru KWEEEERIIII KWEEEEERIIIII au NADANGANYA ndugu zangu?Mungu akikuweka huru unakuwa huru kwelikweli
Alituacha uhuru wetu tarehe 17.03.2021Tena huru KWEEEERIIII KWEEEEERIIIII au NADANGANYA ndugu zangu?
Katiba mpya ni muhimu sana na kwa sasa haikwepeki.Tunaitaka Katiba ya Warioba mapema iwezekanavyo, ili nchi isonge mbele. Haya mambo ya kuoneana hayakubaliki hata kidogo.
Hivi kutakuwa na kumbukizi?Alituacha uhuru wetu tarehe 17.03.2021