Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

CDM kwa akili zao sasa watademka demka huko na kurusha maneno ya kejeli ilhali hii ngoma bado mbichi.
Tulizeni akili.
Mapambano ndo kwaanzaa yanaanza upya!!
Wananchi wanahitaji mbadala makini wa ccm.
 
Tunaitaka Katiba ya Warioba mapema iwezekanavyo, ili nchi isonge mbele. Haya mambo ya kuoneana hayakubaliki hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…