Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Kama mnaubavu semeni hatutaki kesi ifutwe
 
HAKI haijawahi kushindwa milele ila huwa inacheleweshwa tu.

Ashukuriwe yule aketiye pahala pa juu; damu ya Yesu imetenda maajabu..tunashukuru saana, saana - Tanzania 🇹🇿 oyeee

Sasa tujenge nchi yetu ...na hao wafungwa wengine wa uchaguzi mkuu walioko magelezani tunaomba nao waachiwe huru ili tuendelè kujenga nchi yetu.
 

Oya oyaaa!

Warudishe gharama zote wakora hawa!
 
Sasaisiishie hapa, jaji mchongo alieona kuna mashtaka ya kujibu, polisi walio chonga hii kesi, wote wawajibishwe kwa uhujumu uchumi.

Ili liwe fundisho kutumia vibaya madraka.
 
Wiki iliyopita Dr. Wilbrod Slaa alisikika akisema anakerwa na neno #Mbowesiyogaidi na hakuwahi hata kwenda kumjulia hali gerezani aliyekuwa kiongozi mwenzake kwa kipindi kirefu. Leo Mbowe siyo gaidi na mahakama imethibitisha hivyo kwa kumfutia mashataka yake yote tena bila masharti.

Slaa na mwezake Zitto aliyesema Mbowe ana changamoto za kisheria hivyo asamehewe na mwenzao IGP aliyemdanganya mama kwa sasa wanajionaje mbele ya jamii.
 
Ingekuwa kuchukua nchi ni rahisi hivyo ingeshachukuliwa zamani

Zamani lini ? Hatujawahi kuwa na Situation kama hii, hatujawahi kuwa na raisi unpopular kama huyu hata yeye anajua, sasa upinzani ukijipanga vizuri 2025 huyu raisi harudi.

Lkn upinzani don’t trust Tundu Lisu !
 
Mungu ni mwema Sana haki hainunuliwi aibu kwa watesi wote, Kraresma njema wadau maana tulianza kufunga na kuomba hatunae Mungu kapokea maombi yetu
 
Sasaisiishie hapa, jaji mchongo alieona kuna mashtaka ya kujibu, polisi walio chonga hii kesi, wote wawajibishwe kwa uhujumu uchumi. Ili liwe fundisho kutumia vibaya madraka.
MWAMBIENI YULE ALIYEMSHITAKI MAKONDA KUBENEA APELEKE SHAURI HILO MAHAKAMANI WAKAMATWE
 
Team Roho mbaya. Kwa akili zao walidhani Mbowe atafungwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…