Ni kweli kabisadhuluma haijawahi shinda haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisadhuluma haijawahi shinda haki
Mwambie aamue Ili Mwamba akamvue nguo kizimbani!Kwani angeamua asitoke mngemfanya nini ?!!!🤣
Mh.SSH ni kiongozi bora na mwenye moyo wa huruma sanaaaa....
Mwenyezi Mungu ambariki aaaamin 🙏
Hana huruma bali shinikizoKwaresma imetoa majibu makubwa, Mh. Rais wetu ni mtu msikivu sana na ana huruma sana, Mungu mbariki Mama Samia.
Tumeingia mwezi wa toba,
Kwaresma njema kwa wote.
Haina kelele mkaldayo. Naisubiri.Kuna video flani hapa mgerasi naitengeneza nikisherehekea nikivuta mjani. Nitakutag nikiipost
Watu nguo za ndani zingewadondoka tuone matunguli ya waganga wao viunoni...hii kesi imeleta aibu sana kwa watawalaMwambie aamue Ili Mwamba akamvue nguo kizimbani!
Of all days,kwanini DPP akimbie siku ambayo Mwamba anaanza kujitetea?Read btn lines
Kabisa, eti wakaomba majina na anuani za mashahidi wa utetezi! Nadhani hofu yao ilianzia hapo baada ya kukosa!Watu nguo za ndani zingewadondoka tuone matunguli ya waganga wao viunoni...hii kesi imeleta aibu sana kwa watawala
Sasa ameshinikwa sasa[emoji15][emoji15]
Shinikizo lipi?!!
Shinikizo kutoka kwa nani ?!!
Shinikizo kutoka kwa akina nani ?!! Watu gani hao wa kumshinikiza amiri jeshi na mwenyekiti wa chama bora Afrika?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]
Nchi ya kikei sana hiiKabisa,eti wakaomba majina na anuani za mashahidi wa utetezi!Nadhani hofu yao ilianzia hapo baada ya kukosa!
Kwa hiyo mnatumia kesi za uongo kunyamazisha watu wasiongee aah hapo mmechemsha rafiki yangu, hakuna kitu kama hicho na hatukusikia kwenye maelezo ya ufutaji kesi kama kuna masharti yoyote hivyo acha ujinga.Yeah lakini with conditions kitu ambacho Mh.Mbowe hawezi kukifanya kabisa hata mwanasiasa yoyote makini.
Yaani utendewe kosa wewe afu upige goti kuomba msamaha..inakuja kweli hiyo.
Yaani ni kwamba ukiomba msamaha ina maana ulifanya hicho kitendo na busara za DPP anakuachia lakini kuna makubaliano mtaafikiana wewe na mahakama tena ya kisheria ndipo unaachiwa. Wengi wanadhani unatoka tu as simple as that hapana.
Baada ya hapo utarudi mtaani bila nguvu ya kisiasa maana wewe mi muharifu mwenye msamaha wa DPP...muda wowote akijiskia anaifufua kesi.
Hahaha naona umelegea unajipa moyo tu.Tukisema kweli tunaambiwa tunademka!!!!
Hayaa mfuasi wa mfalme Zumaridi....
Safi Sana.Golikipa ni Fredrick Kihwelo, Mbavu ya kulia Sisty Aloyce, Mbavu ya kushoto Gaston Garubindi,
Halfback four yupo Iddi Msawanga
Center half kasimama Brigadia Generali Nashon Nkungu, Halfback six Evaresta Kisanga
Right wing ni Maria Mushi, Inside Eight ni Luteni Generali
John Mallya, Center forward ni Generali Peter Kibatala,
Inside Ten ni Luteni Kanali Jeremiah Mtobesya na Left wing ni
Meja Jenerali Dickson Matata...
Kwa kikosi hiki lazima uweke mpira kwapani...🤣😂🤣😂
Sawa makerubi wa zumaridi😎Tukisema kweli tunaambiwa tunademka!!!!
Hayaa mfuasi wa mfalme Zumaridi....
Yuko aliyelegea baada ya kutoka sana kamasi kwa kubembeleza yaishe.....Hahaha naona umelegea unajipa moyo tu.
Jumbe Brown utateseka Sana ilhali walioshika hicho chama ni wengine.😳😳
Shinikizo lipi?!!
Shinikizo kutoka kwa nani ?!!
Shinikizo kutoka kwa akina nani ?!! Watu gani hao wa kumshinikiza amiri jeshi na mwenyekiti wa chama bora Afrika?!!!😳😳🤣
Simon ndio Judge wa mahakama gani?Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Leo kuna Ibada ya Njia Ya Msalaba aliyopitia Bwana wetu Yesu Kristo kuelekea kwenye ukombozi wa Wana wa Mungu.
Ni imani yangu Simon wa Kirene atatuongoza!
Updates;
Nawatakia Chadema wote Ibada njema ya Njia ya Msalaba.
Mungu ni MWEMA wakati wote.
Jumaa kareem.
The End.
Hana huruma huyo,haiwezekani uje umuachie mtu siku anayoanza kujitetea!Unaficha nin asikiseme kizimbani?Ushahidi wa mashtaka uliisha na ukaonekana mbele za watu ni upuuzi wa kubumba!Kwaresma imetoa majibu makubwa, Mh. Rais wetu ni mtu msikivu sana na ana huruma sana, Mungu mbariki Mama Samia.
Tumeingia mwezi wa toba,
Kwaresma njema kwa wote.