Mbowe acha kutetea watu wapumbavu

Mbowe acha kutetea watu wapumbavu

Mbowe ni muhuni tu alikuwa mbali na magufuli kwasababu alikuwa anatumiwa na wazungu kuharibu nchi yetu

Mbowe na lissu ni wasaliti, usaliti hauna kikomo ni swala la muda tu

Walisaliti Nini?. Hao wazungu ni akina Nani. Unapoongea jitahidi kuwa mkweli.
 
Mmebaki kupost picha. Si mlisema tutazomewa Mwanza au sio wewe.
Nani alisema? Hicho chama mumepoteana hamna hoja Wala suluhu ya matukio mnayodandia..

Nilikuwa naangalia comments Twitter Kwa yule Mzee wenu aliyesema Chadema itatoa Ajira watu wamemzingua,lichama kutwa kulalamika Wala hakuna program za kufqnikisha kile mnacholaumu..

Muwe mnawasiliza hata act jinsi ya kukosa na kuja na majawabu sio ujinga ujinga wenu na ndio maana Huwa siufuatiliagi upuuzi wenu maana hamnaga majibu ya Changamoto za watu ila kulaumu Mkoa poa..

Heche anasema bima Haina maana wakati hospital hazina dawa Wala wahudumu,swali hao watu wanaojaa huko hospital za umma wanapenda kufanya nini kama hakuna daktari Wala wahudumu? Huu ni ujinga mliojaza vichwani.
 
Wabongo ni taifa la wapumbavu

Leo hii Mbowe alianza kutumia pesa za baba yake kujenga chama miaka ya 2000 leo ndiye anaitwa mlamba asali?

Mbowe mwaka 2005 alikodi helicopter kuzunguka nchi mzima wakati chama hakina hata ruzuku leo watu wanasema kalamba asali?

Aisee Mbowe kavunjiwa club yake kwa sababu ya kupigania wapumbavu

Account zake zikafungiwa kisa wapuuzi

Halafu mwisho akafungwa sababu ya wapuuzi na kupewa kesi ya ugaidi!! Shame

Mbowe toka mwaka 2000 mpaka leo miaka 23 kashatumia pesa kiasi gani toka mfukoni mwake?

Mbowe angekuwa mlamba asali Basi angeilamba kwenye utawala wa Magufuli ambaye aliwanunua wabunge 19, Kafulila na wenzie wote walipewa ubunge na uwaziri!! Lakini pamoja na kuwekewa dau la billion 5 na Magufuli akiuze chama ili aweke mwenyekiti mamluki kama ilivyo kwa vyama vyote vingine vya upinzani alikataa na kuendelea kupigania wapumbavu.

Msimamo wa Mbowe upo wazi kabisa anataka Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi, My control Mfumuko wa bei, Nchi kutokopa ovyo, Uhuru wa vyombo vya habari, Kushughulikia Deni la taifa!!!

Wabongo wanataka siasa za majitaka za kutukana siasa hizo hazina nafasi Dunia nzima siasa za Sasa ni hoja !!!

Pia watanzania wengi wameanza kufatilia siasa za upinzania miaka ya utawala wa Magufuli.

Nchi hii ina watu wapumbavu Sana nashauri Mbowe aachane na kutetea wapuuzi
Twende polepole, hapa kuna give and take. Tuambie Mr Mbowe alipata shilingi ngapi kwa Lowassa toka CCM (kwa Tundu Lissu alikata kwenye ruzuku). Vitimaalum wote kuna kodi hata CAG alisema. Magari yote ya chama huombewa tax exemption anatumia Mbowe taxplanning biashara zake za Dubai na Marekani ambako ana uraia pacha kupitia kwa
Mbowes wengine. Wabunge wa Kilombero na Mbozi na maeneo yote yenye rutuba kuna shamba na tractor la Mbowe alisema Lijualikali. Tangu 1992 kapokea ruzuku 1.9b/= anazikata upfront kwa net-off gharama zote ulizotaja ikuwamo chopper, mabango na vipeperushi zikiwamo sare na T-shirt mpya kila msimu. Na tender ya hardware na vyakula vyote. Mbowe ni shrewed, ukitengeneza balance sheet ataibuka mshindi by far.
 
Huhitaji kupanick labda kama unafaidika binafsi na Mbowe. Ni kweli Mbowe amefanya mazuri ndani ya CDM, lakini kwa sasa amefika mwisho na anaanza kuharibu mazuri yake yote. Kwa taarifa yako Mbowe amefaidika sana na CDM kuliko alichotoa, japo ni kweli pesa zake zilisaidia sana kwenye ujenzi wa chama hapo awali.

Lakini kwa kiwango kikubwa Mbowe ameshindwa kuibadilisha Cdm hasa upande wa miundombinu kama ofisi nk. CDM sio chama cha kukosa ofisi yenye hadhi ya chama hicho, na ofisi 1 kila mkoa. Tukubaliane tu kwa sasa Mbowe ameshafikia mwisho wake. Tunakuomba umshauri kiroho safi kuwa akae pembeni maana sisi wafuasi wake hatuna imani naye. Huko CCM ndio kuna tabia ya kufumbiana macho kwa kiongozi akichemsha.
Mbowe hajaanzia asali ya mama.
ina maana hamkuona asali iliyolambwa 2015?
au mlipofushwa na mahaba?
Chadema haijauliwa na Magu. iliuliwa na akina Mbowe na Lisu 2015 tena sooote tukishuhudia.
 
Hakuna anayefaa, inaonekana ndio umeanza kujua siasa sasa, hii ndio iliyopelekea ulete ule utoto wako wa sukuma gang. Na ndio maana unawajua wanasiasa wawili tu, Mbowe na Lema.
@Tindo nadhani usipoteze nguvu zako kubishana na low IQ levels.
Mimi nadhani Mbowe alikuwa anatumia nafasi ya jana kuzungumza na wafuasi wenzake wa Chadema hivyo ujumbe halisi ulikuwa kwenda kwa wenzake.
Hatua hii tuliyofikia sasa imefikiwa kwa maumivu makali sana kwake binafsi kiuchumi, kifamilia hadi kimwili. Sasa kama binadamu inapofikia watu hawamuamini na kumsema vibaya na wakiwemo viongozi wenzake lazima achafukwe, tumemwacha ateme nyongo yote kisha akae sawa na kushika silaha tusonge mbele na kamanda wetu.
Shida ni kuwa mkutano wa jana wafuatiliaji wengi walikuwa maccm na walitegemea mashambulio kwa woga mkuu ikawa sivyo.
Ndugu yangu, sasa ya ndani yameisha jana na kifuatacho ndio watakapo ijua Chadema tena katika style tofauti.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wabongo ni taifa la wapumbavu

Leo hii Mbowe alianza kutumia pesa za baba yake kujenga chama miaka ya 2000 leo ndiye anaitwa mlamba asali?

Mbowe mwaka 2005 alikodi helicopter kuzunguka nchi mzima wakati chama hakina hata ruzuku leo watu wanasema kalamba asali?

Aisee Mbowe kavunjiwa club yake kwa sababu ya kupigania wapumbavu

Account zake zikafungiwa kisa wapuuzi

Halafu mwisho akafungwa sababu ya wapuuzi na kupewa kesi ya ugaidi!! Shame

Mbowe toka mwaka 2000 mpaka leo miaka 23 kashatumia pesa kiasi gani toka mfukoni mwake?

Mbowe angekuwa mlamba asali Basi angeilamba kwenye utawala wa Magufuli ambaye aliwanunua wabunge 19, Kafulila na wenzie wote walipewa ubunge na uwaziri!! Lakini pamoja na kuwekewa dau la billion 5 na Magufuli akiuze chama ili aweke mwenyekiti mamluki kama ilivyo kwa vyama vyote vingine vya upinzani alikataa na kuendelea kupigania wapumbavu.

Msimamo wa Mbowe upo wazi kabisa anataka Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi, My control Mfumuko wa bei, Nchi kutokopa ovyo, Uhuru wa vyombo vya habari, Kushughulikia Deni la taifa!!!

Wabongo wanataka siasa za majitaka za kutukana siasa hizo hazina nafasi Dunia nzima siasa za Sasa ni hoja !!!

Pia watanzania wengi wameanza kufatilia siasa za upinzania miaka ya utawala wa Magufuli.

Nchi hii ina watu wapumbavu Sana nashauri Mbowe aachane na kutetea wapuuzi
Sawa chawa wake
 
Ahhh!!!
 
Kafulila na wenzie wote walipewa ubunge na uwaziri!! Lakini pamoja na kuwekewa dau la billion 5 na Magufuli akiuze chama ili aweke mwenyekiti mamluki kama ilivyo kwa vyama vyote vingine vya upinzani alikataa na kuendelea kupigania wapumbavu.
Kwa manufaa mapana kwa Taifa hili, Waweza kutuandikia uziwake kamili. Hii ni mada inayohitaji thread kamili.
 
Kuna watu wana mihemko huku, kujiona wao ndio kila kitu Chadema...

Kumbe ni nyuma ya keyboard tu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wapumbavu si walichagua ccm 2020 kwa 99% wacha kila mtu avune alichopanda Mbowe anatetea vipi watu waliomkataa kwenye sanduku la kura 2020?
2020 inakumbukwa kama uchaguzi uliojaa Kura za vibegi. Watanzania/Wananchi hawakutendewa haki.
=
 
Wabongo ni taifa la wapumbavu

Leo hii Mbowe alianza kutumia pesa za baba yake kujenga chama miaka ya 2000 leo ndiye anaitwa mlamba asali?

Mbowe mwaka 2005 alikodi helicopter kuzunguka nchi mzima wakati chama hakina hata ruzuku leo watu wanasema kalamba asali?

Aisee Mbowe kavunjiwa club yake kwa sababu ya kupigania wapumbavu

Account zake zikafungiwa kisa wapuuzi

Halafu mwisho akafungwa sababu ya wapuuzi na kupewa kesi ya ugaidi!! Shame

Mbowe toka mwaka 2000 mpaka leo miaka 23 kashatumia pesa kiasi gani toka mfukoni mwake?

Mbowe angekuwa mlamba asali Basi angeilamba kwenye utawala wa Magufuli ambaye aliwanunua wabunge 19, Kafulila na wenzie wote walipewa ubunge na uwaziri!! Lakini pamoja na kuwekewa dau la billion 5 na Magufuli akiuze chama ili aweke mwenyekiti mamluki kama ilivyo kwa vyama vyote vingine vya upinzani alikataa na kuendelea kupigania wapumbavu.

Msimamo wa Mbowe upo wazi kabisa anataka Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi, My control Mfumuko wa bei, Nchi kutokopa ovyo, Uhuru wa vyombo vya habari, Kushughulikia Deni la taifa!!!

Wabongo wanataka siasa za majitaka za kutukana siasa hizo hazina nafasi Dunia nzima siasa za Sasa ni hoja !!!

Pia watanzania wengi wameanza kufatilia siasa za upinzania miaka ya utawala wa Magufuli.

Nchi hii ina watu wapumbavu Sana nashauri Mbowe aachane na kutetea wapuuzi
Acha ujinga kk. Mwenzako yupo kazini apo, alokwambia anatetea watu nani ye anatetea ugari wake. Sisi tunatetewa na MWENYEZI MUNGU hawa wanasiasa hawapunguzi wala kuongeza chochote katika maisha yetu.
 
Hao wapumbavu walimwandikia barua kuomba awatetee?

Kabla yake nani aliwatetea?

Toka aanze kuwatetea nini kimebadilika?
 
Wa Tanzania si wapumbavu ni wajamaa, nchi yoyote yenye historia ya ujamaa raia wake si wana mageuzi. Nenda Urusi, China, na Cuba.
 
Kama kuna mwana CDM hataki maridhiano hajui kesho yake, mbona mliambiwa na Lisuu muandamane kupinga matokeo ya uchaguzi mkaingia mitini na kumtelekeza bora aliyebadilisha mwelekeo wa namna bora ya ku deal na CCM tuone mwisho wake pengine itasaidia kuliko wanaotanguliza watoto wa watu wauawe. Watu wameuawa na kufungwa je siasa za uhasama kama hizo bado tunataka ziendelee.Mimi ninaweza kukubaliana na wale wanaozungumzia twende zaidi ya maridhiano ya sasa ya mikutano kuruhusiwa, kuelekea kwenye katiba mpya na kuundwa kwa⁷ Tume ya Ukweli, Haki na Maridhiano ili kuponya zaidi makovu na kuanza upya wa ujenzi wa Taifa lenye kuaminiana( building a nation banks on mutual trust deligence)kwa ushirikiano wenye umakini. Mwenyekiti wenu ameeleza vizuri falsafa ya CDM kwa sasa ya namna bora ya kukabiliana na CCM kwenye mazingira mapya,utawala mpya, mtizamo mila na desturi za kitanzania.Ungeni mkono muonekane wakomavu watanzania na hata vyombo vya ulinzi na usalama vitawaamini kuwapa nchi,semeni huku mkiendelea kuleta sera mbadala. Waeleweni watanzania tabia zao na wanachotaka,zaidi ni HOJA hapo mtaheshimika na kutoa matumaini ya wananchi kwa chama chenu, fanyeni SWOT analysis mpange mikakati ya siasa endelevu.
 
Back
Top Bottom