Mbowe acha mzaha na Damu za watu

Mkuu jifunze kwenye siasa za kenya, usiwachukulie wanasiasa serious wao wanaungana na yoyote kutimiza malengo yao ya kisiasa baaasi.
 
Kama siyo busara za Mbowe enzi ya dikteta pangewaka moto
 

Kwa akili zako hao wakina Halima wakisamehewa watabaki na ubunge wao na vyeo walivyokuwa navyo BAWACHA? Na uamuzi huo utafanywa na Mbowe peke yake?

Amandla...
 
Anayepinga kuwa mchakato haukuwa na baraka za Chama ajitokeze.
 

Hawa jamaa kwa kudanganyana ni hatareeee sana,
 
Nyani haoni KUNDULEEEEE!!! Eti majina ya Mzee Halima yamepelekwa na Chadema halafu maccm au hao COVID-19 washindwe kuthibitisha hivyo!!!

 
Form six anayekalisha chini ma profesa mbowe hua namuelewa sana

Mwenyekiti pekee duniani wachama cha upinzani anayeendesha shughuli bila kumwaga DAMU.
 
Naunga mkono hoja yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…