Mbowe acha mzaha na Damu za watu

Mbowe acha mzaha na Damu za watu

Mkuu jifunze kwenye siasa za kenya, usiwachukulie wanasiasa serious wao wanaungana na yoyote kutimiza malengo yao ya kisiasa baaasi.
 
Mimi kusema ukweli pamoja na mapungufu ya Mbowe kama kiongozi ndani ya Chadema na kwingine lakini ni mmoja wa kiongozi bora sana na mwenye busara sana na hana mihemko ,hakika nasema wazi Mbowe ni mtu nanusu...Mbowe ana shaurika Mbowe ana utu sana tena kupita viongozi wowote wa upinzani.
Mbowe huwa ana teleza sana kama binadamu na kama kiongozi lakini kamwe Chadema awawezi kuwa na kiongozi aina ya Mbowe.
Kama siyo busara za Mbowe enzi ya dikteta pangewaka moto
 
Akili hizo angekuwa nazo Nelson Mandela,South Africa isingekombolewa,hakuna mtu aliyekuwa anapewa fursa za pesa Kama Nelson Mandela,alichagua utu kuliko pesa,ndo maana ameondoka Duniani akiwa na heshima kubwa kuliko mtu yoyote Africa.
Pesa si lolote mbele ya utu.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app

Kwa akili zako hao wakina Halima wakisamehewa watabaki na ubunge wao na vyeo walivyokuwa navyo BAWACHA? Na uamuzi huo utafanywa na Mbowe peke yake?

Amandla...
 
Anayepinga kuwa mchakato haukuwa na baraka za Chama ajitokeze.
 
Nimekusikia majuzi ukisema, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe kina Halima Mdee na wenzake waliokimbilia CCM kwa tamaa za pesa za ubunge.

Unachotaka kufanya ni kutudharau sisi wanachama wote wa CHADEMA na wote waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Chama. Yaani Halima Mdee na wenzake eti wasamehewe na wanarudi kwenye Chama kama zamani kwa lipi?

Yaani they're the best of all members around Tanzania?

Kwamba bila hao wasaliti CHADEMA haiwezi be kuwepo?

Aisee acha mzaha na Damu za watu Mbowe,hao ni nyoka tayari hawawezi tena kurudi kuwa Binadamu.

Mtu Kama Halima Mdee alikuwa na dhiki gani ya kununuliwa na CCM?

Miaka 10 ya Ubunge,mshahara zaidi ya mil 10 kwa mwezi na mafao yote hayo Bado hakuridhika akakimbilia CCM kisa kakosa Ubunge baada ya kuporwa,who the hell are they?

Waache wafie huko CCM, kila aliyeondoka wakati wa mapambano hatumtaki,umeshatuuliza siye wanachama kuwa Tupo tayari hao wasaliti warudi?

Tunakuheshimu sana tunaomba ujiheshimu na usichafue hali ya hewa.

Ukiwarudisha hao wasaliti,pia mrudishe Ben Saane,Mawazo,na pia mrudishie Tundu Lissu afya yake na Aquilina pia tutaomba umrudishe.

Mbowe nitakuchukia maisha yangu yote na usithubutu kabisa.

Wewe siyo Mungu wa kusamehe watu hovyo hovyo tu.

Na ukiwa mbishi be prepared to pay the price,na CHADEMA itafia huko.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app

Hawa jamaa kwa kudanganyana ni hatareeee sana,
 
Nyani haoni KUNDULEEEEE!!! Eti majina ya Mzee Halima yamepelekwa na Chadema halafu maccm au hao COVID-19 washindwe kuthibitisha hivyo!!!

Kiukweli baadhi ya wanachama, wafuasi na mashabiki wa Chadema, vichwani ni watupu kabisa!. Wanadhani Majina ya kina Halima, yamepelekwa na CCM!. Laiti ungeujua ukweli, you will be surprised.

P
 
Mbowe ni msanii sana nilikuwaga lia lia sana wa chama cha chadema ila pale tu alipoahirisha maandamano nikamchukia jumla n a kadi nikachana .

Mbowe ndie alisababisha jiwe apate kiburi kuwa kumbe ana upinzan usio na meno na ukumbuke jiwe alikuwa mwoga sana yule dingi ni vile watu hawakujua tu ,kama ile siku maandamano yangetokea niamin magu angeongoza kwa upole sana ,sheria zote angefuata hata wabunge wa upinzan asingewakata kibabe ile 2020 ila mwaka 2015 alipogundua upinzan si lolote ndio hayo yaliotukuta kwa Zaid ya miaka mitano .

Mbowe sio wa kumwamini yule dingi hata ishu ya kina mdee ana mkono wake asilimia mia wajinga ndio hawaelew huu mchezo unavyocheza kibabe Zaid na kiutalaam
Form six anayekalisha chini ma profesa mbowe hua namuelewa sana

Mwenyekiti pekee duniani wachama cha upinzani anayeendesha shughuli bila kumwaga DAMU.
 
Nimekusikia majuzi ukisema, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe kina Halima Mdee na wenzake waliokimbilia CCM kwa tamaa za pesa za ubunge.

Unachotaka kufanya ni kutudharau sisi wanachama wote wa CHADEMA na wote waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Chama. Yaani Halima Mdee na wenzake eti wasamehewe na wanarudi kwenye Chama kama zamani kwa lipi?

Yaani they're the best of all members around Tanzania?

Kwamba bila hao wasaliti CHADEMA haiwezi be kuwepo?

Aisee acha mzaha na Damu za watu Mbowe,hao ni nyoka tayari hawawezi tena kurudi kuwa Binadamu.

Mtu Kama Halima Mdee alikuwa na dhiki gani ya kununuliwa na CCM?

Miaka 10 ya Ubunge,mshahara zaidi ya mil 10 kwa mwezi na mafao yote hayo Bado hakuridhika akakimbilia CCM kisa kakosa Ubunge baada ya kuporwa,who the hell are they?

Waache wafie huko CCM, kila aliyeondoka wakati wa mapambano hatumtaki, umeshatuuliza siye wanachama kuwa Tupo tayari hao wasaliti warudi?

Tunakuheshimu sana tunaomba ujiheshimu na usichafue hali ya hewa.

Ukiwarudisha hao wasaliti,pia mrudishe Ben Saane, Mawazo, na pia mrudishie Tundu Lissu afya yake na Aquilina pia tutaomba umrudishe.

Mbowe nitakuchukia maisha yangu yote na usithubutu kabisa.

Wewe siyo Mungu wa kusamehe watu hovyo hovyo tu.

Na ukiwa mbishi be prepared to pay the price, na CHADEMA itafia huko.
Naunga mkono hoja yako.
 
Back
Top Bottom