Pre GE2025 Mbowe aendesha uchaguzi wa Mwenyekiti Pangani bila kufuata taratibu za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
hongera sana. Chadema is thre to syay! Undhani Msigwa angelishinda uenyekiti wa Nyasa (akamshida sugu) angelibwabaaja haya yote?
Msigwa amejidhalilisha mna. Wasipompa cheo sijui atatimkia wapi, maana anatafuta cheo
Ndugu yangu, mie siasa za bongo nimeshazivulia kofia na blauzi sina hamuuuu. Wala siamini mambo yao ...hizi kelele za sisi mashabiki mara paaap kesho unaona picha ya pamoja ya mbowe, msigwa na sugu wanasmile hawana shida.

Sipo kabisa na siasa mie mtz huru
 
Hakuna upinzani bongo ni stori stori tu

Ni wananchi kufika mahali na kufanya maamuzi magumu

30yrs stori ni zile zile wamekosa uthubutu!

Tunadanganywaaa weeee
Wakirudi majumbani mwao maisha yanaendelea. Kutwa kusema keyboard worries. Wengi wa keyboard warriors wapo nje ya nchi ( hili nalo upinzani wameshindwa kutambua au ni kujifanya tu) Wanalipwa ruzuku kutwa mikutano isiyo isha.

Mnaongea nini wananchi wasichokijua.
Mnajadili budget ili iweje
Wafanyabiashara waligoma mpo kimya
HAKUNA UPINZANI PERIOD!
 
Msigwa kasema Mbowe ni fisadi na ushaidi katoa kauliza alienda ikulu kufanya nini akarudi akampa mama samia tunzo
 
Serikali impe kazi Mbowe, ili aachie uenyekiti Chadema. Hata kama jamani, Demokrasia gani kiongozi, mmoja watoto wanazaliwa wamemkuta mpaka wameanza kujitegemea. Chadema muendane na maneno yenu.

Mnashindwa hata na chama cha mambuzi, wameshabadili wenyeviti nyie huyohuyo. Kama chama ni cha familia, kiundwe chama cha wananchi wote, huru yeyote kugombea.
 
Waachie wao na chama Chao, acha kuumia kwa mambo yasiyo kuhusu
 
Chama cha mameee hawajawahi kuchagua Mwenyekiti wa Taifa...

Ila Kuna haja ya kufanya mabadiliko...
 
correct, lakini upinzani si uadui. CCM inafanya vibaya kuwateka chadema.
 
Safi sana wewe kama mimi tu ,siamini mwanasiasa yoyote yule tena.Yote majizi na malaghai.
 
Sasa kwani katiba yao inamzuia? Mambo mengine yanatia aibu, wao wanamchagua nyie mnataka kuwapangia na mnaumia wakati vyama vingine vipo mnaweza hamia huko mkawe wenyevit kama alivyofanya Zitto
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. CCM ni kama bokoharam tu
 
Hoja nzuri mrembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…