Kumbe wanahongeka.....sasa hapo shida ni ya nani??
Kweli tumbo ni shida. Haya bana kila mtu na ajali tumbo lake tu
Chadema kuna sehemu wamefika hawaelewi hata wanachokitetea wanatia huruma. Wanadhani kusukumia makosa ya mbowe kwa watu wengine ndio kumtetea kipenzi chao hawajui mwisho wake ni upiKumbe wanahongeka.....sasa hapo shida ni ya nani??
Kweli tumbo ni shida. Haya bana kila mtu na ajali tumbo lake tu
Lissu anaweza kuhongwa akatimkia CCM?..kuna wakati Mbowe alikuwa analaumiwa kwamba amehongwa na Mama Samia.
..kwa mazingira ya sasa hivi sishauri Mbowe aondoke nafasi ya Uenyekiti.
..Mbowe hata kama anahongwa hawezi kuondoka Chadema, na kutimkia Ccm.
..kuna hatari ya Ccm kupandikiza mtu wao kuwa Mwenyekiti wa Chadema, halafu muda ukifika wanamchomoa.
Wewe mwenyewe umeripoti kihuni pia!Ndugu yangu, mie siasa za bongo nimeshazivulia kofia na blauzi sina hamuuuu. Wala siamini mambo yao ...hizi kelele za sisi mashabiki mara paaap kesho unaona picha ya pamoja ya mbowe, msigwa na sugu wanasmile hawana shida.
Sipo kabisa na siasa mie mtz huru
Haya sawa....Wewe mwenyewe umeripoti kihuni pia!
Kwa kauli hii ina maana bado Chadema haijajiandaa kwa 'maisha' baada ya Mbowe kung'atuka.....achilia mbali hata kuandaa mrithi wake .
Imepoteza mvutoChadema kuna sehemu wamefika hawaelewi hata wanachokitetea wanatia huruma. Wanadhani kusukumia makosa ya mbowe kwa watu wengine ndio kumtetea kipenzi chao hawajui mwisho wake ni upi
Unaonekana ni wale mnaosubiri kuletewa mabadiliko, sijui kama umewahi kuandamana hata mara moja, au ndio huwa unawahi kuangalia maandamano kwenye Tv..Umesema vyema.
Watu waache kuwa kwenye ‘denial’
Wote ni wafanyabiashara
Mikutano wanayoifanya kina Mbowe, Lissu, na Lema kule field mmeona muitikio wake kwa wananchi? au unaimba tu hapa kama katoto..Imepoteza mvuto
Chadema ni Mali yake ,wewe ulitaka afuate utaratibu wa wapi?
Ukitazama hii video utamuona Mbowe mmiliki wa CHADEMA akiendesha uchaguzi kwa style ambayo haijawai kutokea tangu uchaguzi wa kumpitisha Lowassa kuwa mgombea urais CHADEMA mwaka 2015.
Huu ni muendelezo wa namna Mbowe anavyoendesha chama chake. Tukio ili limeshangaza maelfu ya watu walioona video hii duniani kote.
Hiki chama kimeishiwa maarifa ya uongozi. Wakati wa Dkt. Slaa huwezi ona haya mazingaombwe.
Katiba ya Chadema inasemaje kuhusu uendeshaji wa uchaguzi huru na wa haki au Mbowe kuna wakati anajigeuza tume ya uchaguzi?Nimesoma comments nyingi humu sijaona hata mmoja kati yenu aliyejiuliza kwanini Mbowe amefanya mkutano wa uchaguzi wa aina hiyo, wote mnabwabwaja tu!.
Video yenyewe iliyowekwa hapo ni kipande kifupi, kisicho na maelezo yoyote kabla nini kilisababisha Mbowe akaamua kufanya uchaguzi wa aina hiyo.
Mihemko tu imewatawala wengi wenu kuanza kumponda Mbowe, kama vile mna stress za maisha yenu mnaamua kummalizia yeye, pambaneni na hali zenu.
Mngekuwa na akili zinazofanya kazi mngejiuliza kwanini Mbowe amefanya hivi, mkipata jibu lisilowaridhisha ndio muanze kumpinga, sio mnakurupushwa na mleta mada mnajaa wazima kama samaki ķwenye nyavu!
Nyie ndio GT's!.
Hamjiulizi sasa hizi Chadema wanafanya chaguzi za kanda, huo uchaguzi wa Handeni ni wa kanda? kijiji, kata, au mtaa? muda wake ulishapita au bado? kama muda ulipita bila uchaguzi kufanyika mlitaka paachwe hivyo hivyo? au waendelee kuvuta muda kujiandaa kwa uchaguzi na kutumia resources za chama?
Muwe mnajiuliza sababu ya jambo, sio kukurupuka tu kwa makelele ya hasira.
Mlilazimishwa kujiunga na chama chake?Demokrasia itumike yeye anadai tume huru ila anachotenda ni udikteta na ujanja ujanja.
Mikutano wanayoifanya kina Mbowe, Lissu, na Lema kule field mmeona muitikio wake kwa wananchi? au unaimba tu hapa kama katoto..
Chadema imepoteza mvuto huku bado CCM wanashangilia kumpata Msigwa?!
Mnaandika tu ilimradi mihemko yenu imehamia kumponda Mbowe, there is no logic whatsoever.
So, umekimbilia kuanzisha uzi bila hata kujua katiba ya Chadema inasemaje?!Katiba ya Chadema inasemaje kuhusu uendeshaji wa uchaguzi huru na wa haki au Mbowe kuna wakati anajigeuza tume ya uchaguzi?
Umeweka video ya Mbowe akishuka kwa chopa ili kuwadanganya wajinga hamna watu!, kumbe unaonekana huelewi hata swali dogo nililokuuliza!.