Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF


MWanakijiji atakuwa KOBA,MADELA,BEN na Mwafrika wa kike.
 
Ukisikia uchemfu ndio huu, yameishia wapi madawi ya wizi wa Mbowe? kufilisika hoja ndiko huku na as usual, mnakomwa nyani giledi on your faces hadi mnaanza explosions! tik tak tik tak

Hoja kaishiwa Mbowe na LILIAN MTEI ndio maana wakapelekwa mahakani. wangekuwa na hoja yasingefika mahakamani, na wanataka kutumia mgongo wa siasa kukwepa kulipa deni la walalahoi.Mtikila kaliona hilo na Mzee wetu Kyara pamoja na kuwa mchagga mwenzake kwa hili kamtosa!
 

Sidhani kama unasubiri nikukumbushe kuniomba msamaha kwa kuniita mtoto na mjinga.... kwi kwi kwi!

Mimi naona katika hili tuungane kuitisha tume huru ya bunge ya kuchunguza pesa zote na madeni yote ya NSSF kuanzia 1990 bila kujali kama Mbowe au Nyerere wanahusika. Wewe unasemaje?
 

dada, sidhani kama kweli you want it with Kada ! Aliyesema usichangie ni nani ? Lini ? Wapi ? na hao waliochemsha acha wachemshe, but usiniweke katika kundi hilo hilo na hao unaowaconsider wamechemsha !

Hypothermia victim au ?? Kumtaja kada katika kuwasilisha hoja zako sidhani kama itakusaidia..
 
MWanakijiji atakuwa KOBA,MADELA,BEN na Mwafrika wa kike.

Naona baadaye atakuwa kana ka nsungu, nzoka nhulu, ngosha, na wengine wote wanakupa hell hapa JF.... itabidi hii speed ya kutype ya mwanakijiji ichunguzwe na wataalamu....lol
 

KADA just gave you a green light !NOW KEEP IT MOVING !! MOVE IT !
 

Ukweli mtupu hapa !
 
Ukisikia uchemfu ndio huu, yameishia wapi madawi ya wizi wa Mbowe? kufilisika hoja ndiko huku na as usual, mnakomwa nyani giledi on your faces hadi mnaanza explosions! tik tak tik tak

Mwanakijiji usikasilike nakupiga NJE NA NDANI!!! yaani naijua Chadema kuliko wewe na Kitila MKUMBO (SIZITAKI MBIVU HIZI) kwani kawa mpinzani baada ya kukosa nafasi ndio CCM haifai mwanzo ilikuwa safi. wako wengi kama John Guninita nae alikosa nafasi akaja Chadema kupumzika akarudi tena zizini. sasa hivi ana nadi sera alizosema mbaya naenda chadema.
 

halafu nashangaa mbowe kukopa alikopa na ndugu zake then kwenda kwenye press alienda na mkewe, hii sijui imekaaje !
 
dada, sidhani kama kweli you want it with Kada ! Aliyesema usichangie ni nani ? Lini ? Wapi ? na hao waliochemsha acha wachemshe, .....

Soma hapa kwenye moja ya posts zako hapa..

KadaMpinzani said:
Hapa anayeongelewa ni MBOWE na sio BLOW JOBS bana, kaeni kwenye topiki ! na sio kingine, kama mtu umeshindwa TOKA na uache CHINGA amwage facts !

.......

Nani alidetermine kuwa nimeshindwa ukaomba nitoke?
 

Walidhani chinga chizi...Sasa facts zinatoka ! Pige Nje na Ndani (kama ulivyosema MKUU)!!
 

Kama Mbowe ni mkikuyu na wewe ni nani vile.. ongelea mtu anayedai kupiga nje na ndani namna unavyoishiwa mapema!
 
Soma hapa kwenye moja ya posts zako hapa..



Nani alidetermine kuwa nimeshindwa ukaomba nitoke?

nilisema kwamba kama umeshindwa NDIO UTOKE, sasa je unakili kwamba umeshindwa ? if so, then i still stand by my words kwamba UTOKE na uache kuongea arguments za kutibu mada !
 
Soma hapa kwenye moja ya posts zako hapa..



Nani alidetermine kuwa nimeshindwa ukaomba nitoke?

Hiyo imekaa kuwa Mbowe anaenda na mke wake na sio wezi kama ROstam Azizi na Manji kwenye press conference!

kwa waawaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhwawa, kwa wawawawhhhhhhhhhhhhh ! hayo ndio niliyokuwa nasema, nimemquote MKUU CHINGA kuhusu MBOWE jee unapandisha bega lako ! kwawawawhhhhhhhhhhhhhhhhh na kuleta mambo yako ya rostam aziz, DO YOU THINK YOU ARE AT A BEAUTY PARGENT ?? kwahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
nilisema kwamba kama umeshindwa NDIO UTOKE, sasa je unakili kwamba umeshindwa ? if so, then i still stand by my words kwamba UTOKE na uache kuongea arguments za kutibu mada !

kwa hoja za kuwa Mbowe ni mkikuyu, I am just getting started!
 
kwa waawaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhwawa, kwa wawawawhhhhhhhhhhhhh ! hayo ndio niliyokuwa nasema, nimemquote MKUU CHINGA kuhusu MBOWE jee unapandisha bega lako ! kwawawawhhhhhhhhhhhhhhhhh !

Nadhani unaonyesha jinsi unavyobaki kwenye mada....

kuishiwa ndiko huku! katafuteni lingine kwani hili mmechemsha big tyme!
 
kada achana nae huyu pimbi.

nimemuuliza mkutano wa kwanza wa Chadema ulifanyika wapi Dar? hajui, mimi nitamwambia nani alizungumza na MTEI hotuba yake ilisema nini haijui, alikuja na na gari gani, jukwaa lilikuwa wapi?

Mwanakijiji nataka kukuthibitishia naijua vyema Chadema kuliko wewe.muulize hayo Maswali MBOWE NAJUA WEWE na kitila hamjui chochote.

nakupa kidogo tu.Jukwaa la Chadema lilikuwa upande wa kaskazini karibu ya barabara ya mkunguni na lumumba mnazi mmoja. hili nakupa kukuonesha kuwa wewe umepanda gari usilolijua. muulize Mbowe atakwambia Chinga anasema UKWELI.

ukitaka nitakupa na hotuba yote ya mzee Mtei.mkutano ulitawaliwa na wachagga wauza mabaa wengi ulikuwa kama wa kikabila ni sawa na Kilimanjaro development Association. wewe endelea kumlinda Mbowe kwenye viti maalum wanapewa wachagga tu.
 
get it on, then ! we are watching and so is everyone else !

NOt everyone else kwa sababu Rostam Azizi analowa sasa hivi na hii issue ya uraia bubu wake... inabidi uqualify your statement kinda off... wakati nikikutoa kwenye mada tartibu na kuonyesha superiority yangu over all of watetezi wa mafisadi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…